JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Waziri Ndumbaro awataka wazazi kukemea mmomonyoko wa maadili

Na Cresensia Kapinga, Jamuhuri, Songea. Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt.Damas Ndumbaro amewataka Watanzania kutunza na kuendeleza urithi wa tamaduni zetu ambapo amewataka wazazi kukemea mmomonyoko wa maadili kwenye jamii na kufuata mila na desturi za kitanzania Agizo hilo…

Tamasha la utamaduni kitaifa lafunguliwa Songea

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ruvuma WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Damas Ndumbaro amewaasa watanzania kuzingatia miiko, mila na desturi za kitanzania na kuwarithisha watoto na vijana ili kujiepusha na tamaduni za kigeni zisizofaa kwa jamii. Aidha, ameitaka Mamlaka…

Kafulila aipongeza CBE kwa ubunifu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KAMISHNA wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP), David Kafulila, amevitaka vyuo vya umma nchini kutumia sekta binafsi kujenga mabweni na miradi mbalimbali kwa ubia na sekta binafsi bila kutegemea…

Rais Mwinyi aipongeza Airpay uzinduzi mifumo ya kidijitali ya ZEEA

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Kampuni ya Airpay Tanzania kwa kudhamini Tamasha la pili la Fahari ya Zanzibar lililoandaliwa na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (ZEEA)…

Uchunguzi wa kisayansi umesaidia kuunganisha wahalifu na tuhuma zinazowakabili kiurahisi

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam JESHI la Polisi nchini limeungana na wadau wengine dunia katika maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya uchunguzi wa sayansi ya Jinai (Forensic Day) leo Septemba 20, 2024 katika Chuo cha Taaluma ya Polisi…