JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Polisi: Tunawashikilia Mbowe na Lissu kwa kujihusisha na maandamano

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema kuwa linawashikilia watu 14 kutokana na kujihusisha na maandamano. Limewataja baadhi ya watu hao ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Taifa…

Bashe atoa bei elekezi ya mahindi Ruvuma

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ruvuma Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ametangaza bei elekezi ya kununua mahindi Mkoani Ruvuma, kuwa kilo moja ya mahindi itauzwa kwa bei isiyo pungua shilingi 550 kwa kilo moja. Waziri Bashe amesema hayo alipokuwa anazungumza na…

TPA: Ujenzi wa bandari mpya ya Mbamba Bay kuleta ajira, kukuza uchumi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Mbamba Bay Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari hapa nchini (TPA) imesema kuwa ujenzi wa bandari mpya ya kisasa wa Mbamba Bay unaogharimu kiasi cha bilioni 75.8 ni mradi mkubwa wa kimkakati ambao utaleta manufaa makubwa kwa taifa…