JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Papa Francis atoa wito wa amani na kusuluhishwa kwa mizozo

Papa Francis ambaye amelazwa hospitalini kwa zaidi ya wiki mbili kwa ugonjwa wa maambukizi ya mapafu amewashukuru leo waumini wa kanisa katoliki kote duniani kwa msaada na kumuonesha upendo. Kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis ambaye amelazwa hospitalini…

Viongozi wa Ulaya wakubaliana kuhusu amani ya Ukraine

Viongozi wa Ulaya wametangaza kuiunga mkono Ukraine katika mkutano wa kilele uliofanyika London. Wameahidi kutumia fedha zaidi kwenye usalama na kuunda muungano wa kuyalinda makubaliano yoyote ya amani nchini Ukraine. Mazungumzo hayo, ambayo yaliwaleta Pamoja washirika 18, yalijiri siku mbili…

Nayikole wafurahia miradi ya maendeleo

Wakazi wa kijiji cha Navikole kata ya Chawi, Halmashauri ya Mji Nanyamba mkoani Mtwara, wameipongeza serikali kwa kuwaletea miradi mbalimbali ya maendeleo kwenye kijiji hicho ikiwemo umeme, zahanati na maji. Akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara uliyofanyika katika kijiji hicho…

Aliyekuwa Mkuu wa Kitivo cha Tiba Butare ashtakiwa Paris kwa mauaji ya kimbari Rwanda

Aliyekuwa kiongozi wa Kitivo cha Tiba katika Chuo Kikuu cha Butare, Rwanda, amefikishwa mahakamani mjini Paris akikabiliwa na mashtaka ya mauaji ya kimbari, uhalifu dhidi ya binadamu, na kula njama ya kutekeleza uhalifu huo. Alphonse K., mwenye umri wa miaka…

Waliyopambania wanawake wenzetu matunda tunayaona Mbuja

📌 Asema Wizara ya Nishati inalo la kujivunia kutokana na uwepo wanawake katika nafasi za uongozi. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Nishati, Neema Mbuja amesema kile ambacho wanawake walikipambania katika majukwaa mbalimbali ikiwemo ya Kimataifa ili kuwa…

EACOP , PCK kufadhili masomo kwa vijana 80 hapa nchini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilimanjaro Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kwa kushirikiana na mkandarasi wa kusambaza mabomba PANYU CHU KONG STEEL PIPE (PCK) wametoa ufadhili wa mafunzo ya nadharia na vitendo kwa vijana 80 wa…