Latest Posts
Je, ushirikina unafanikisha biashara?
Mapema mwaka huu nilikuwa miongoni mwa maelfu ya wakazi wa mji wa Iringa, waliokwenda kushuhudia sakata la misukule katika Frelimo, iliyodaiwa kuwa kwenye nyumba ya mama mmoja mfanyabiashara maarufu mjini hapa. Licha ya kufika mapema sana eneo hilo lakini sikubahatika kuona misukule!
NHC yazidi kujiimarisha
*Kasi ujenzi nyumba za makazi, vitegauchumi yaongezeka
*Nyumba 1,000 kwa wenye kipato kidogo kujengwa mikoa 14
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) linaendelea kutimiza dhima ya kuanzishwa kwake kwa kuhakikisha linatekeleza miradi mbalimbali ya ujenzi wa nyumba za makazi na vitega uchumi.
Kwa sasa NHC imekamilisha baadhi ya miradi, mingine inaendelea na pia imejiwekea mpango mkakati wa kuendelea na ujenzi wa nyumba kwa mahitaji mbalimbali nchini.
JKT ni mtima wa Taifa (5)
JKT ni mtima wa Taifa (5)Napenda kukumbusha wahusika kuwa wakati utaratibu wa kuwaita vijana kwa mujibu wa sheria ukiandaliwa katika ile (White Paper No. 2 ya mwaka 1966), katika ibara ya 9, kulianishwa masomo ya kuwafundisha vijana wote katika JKT.
Tamaa ya utajiri yachochea ushirikina migodini Geita
“Ushirikina huku Geita ni mkubwa, wachimba madini wengi wanaamini hawawezi kufanikiwa bila kufanya ushirikina, ndio maana kuna vitendo vya mauaji ya alibino na kukata viungo vyao.”
Hiyo ni kauli ya mchimbaji mdogo wa dhahabu katika mgodi wa Nyarugusu alipozungumza na JAMHURI hivi karibuni, kuhusu ukubwa wa imani za ushirikina kwa wachimbaji wadogo wa madini mkoani Geita.
Chadema jiepusheni na migogoro
Katika toleo la leo tumechapisha habari zinazoonyesha kuwa kuna mgogoro mkubwa unaofukuta ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Mgogoro huu unatajwa kutokana na makundi makubwa matatu yenye kutaka ukuu ndani ya chama hicho. Kundi la kwanza ni la Mwenyekiti Freeman Mbowe. Kundi hili linadaiwa kuukodolea macho urais baada ya kuona kuwa Chadema sasa inakubalika.
Kwa hili nasimama na David Cameron
NAANDIKA makala hii nikiwa jijini Manchester kwa shughuli maalumu ya kimichezo, nikiwa mdau kiasi. Naandika nikiwa bado na tafakari nzito na hofu juu ya hali ya vyombo vya habari vya Uingereza huko tuendako.
- Kapinga azindua namba ya bure yabhuduma kwa wateja TANESCO
- Dk Biteko mgeni rasmi mkutano wa 62 wa Bodi ya EITI Arusha
- Tanzania na Urusi kushirikiana kuimarisha uhifadhi wa misitu kwa teknolojia za kisasa
- Wizi wa mafuta, uwekaji vinasaba wabainika kuwa na walakini
- DAWASA yaahidi uhakika wa uzalishaji wa maji Dar
Habari mpya
- Kapinga azindua namba ya bure yabhuduma kwa wateja TANESCO
- Dk Biteko mgeni rasmi mkutano wa 62 wa Bodi ya EITI Arusha
- Tanzania na Urusi kushirikiana kuimarisha uhifadhi wa misitu kwa teknolojia za kisasa
- Wizi wa mafuta, uwekaji vinasaba wabainika kuwa na walakini
- DAWASA yaahidi uhakika wa uzalishaji wa maji Dar
- ‘Dawa mpya za kulevya na dawa tiba zenye asili ya kulevya tishio duniani’
- RC Chalamila aingilia kati sakata la mjane kutolipwa haki zake na Hospitali ya Amana
- Barabara Kimara-Mavurunza-Bonyokwa-Kinyerezi kuwa ya lami
- BRELA yawanoa waadishi wa habari wa Jamhuri Media
- TANAPA yavunja rekodi tena
- Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani afungua mkutano wa kibunge New York
- Rais Samia ametoa kipaumbele wa Serikali za Mitaa kuchochea maendeleo- Mchengerwa
- Trump anamaliza vita duniani
- ‘Uvuvi ni Utajiri’
- Hatimaye Viti Maalum bungeni vyafikia ukoml