JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Rais Samia awaenzi mashujaa wa vita ya Majimaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametembelea Makumbusho ya Vita vya Majimaji iliyopo Mjini Songea Mkoani Ruvuma, kwa lengo la kutoa heshima ya Kumbukizi ya Mashujaa wa Vita ya Majimaji vilivyopiganiwa takribani miaka 119 iliyopita…

Rais Mwinyi : SMZ kuleta mageuzi katika sekta ya elimu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itaendelea na mikakati ya kuleta mageuzi makubwa katika sekta ya elimu kwa lengo la kuipeleka nchi katika uchumi wa kati na wa juu. Rais Dk….

Naibu Kadhi Mkuu ampongeza Shiraz kwa kujenga Msikiti Dar

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Naibu Kadhi Mkuu, Ali Khamis Ali amempongeza mfanyabiashara Shiraz Rashid kwa kujitolea kujenga Msikiti wa Imam Ali Bin Abu Talib eneo la Magomeni jijini Dar es Salaam. Alitoa pongezi hizo mwishoni mwa wiki…