Latest Posts
Tunazikaribisha Ngangari, Ngunguri na Nginjangija?
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Septemba 22, 2024 ni miaka 29 tangu baba yangu mzazi afariki dunia (wakati unasoma makala hii Jumanne Septemba 24, 2024 ni miaka 29 na siku 15). Baba yangu alifariki Septemba 12, 1995 akiwa…
Tumeridhia matapeli wa kiroho waliangamize taifa
Na Manyerere Jackton, JamhuriMedia, Dar es Salaam Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwapo ongezeko la mitume na manabii wa uongo barani Afrika, hususan Tanzania, wanaohubiri mafanikio ya haraka kupitia miujiza, utajiri wa ghafla na baraka za kiroho zinazotokana na vitu…
Tuunge mkono kwa vitendo mkakati wa taifa wa nishati safi ya kupikia -Katimba
📌 Asisitiza Watanzania kuwa sehemu ya Mkakati 📌 Aeleza athari za matumizi ya Nishati isiyo safi 📌 Atoa hofu ya Gesi kulipuka Naibu Waziri Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Mhe. Zainabu Katimba ametoa rai kwa wananchi kuunga mkono kwa vitendo Mkakati…
Rais Samia awaenzi mashujaa wa vita ya Majimaji
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametembelea Makumbusho ya Vita vya Majimaji iliyopo Mjini Songea Mkoani Ruvuma, kwa lengo la kutoa heshima ya Kumbukizi ya Mashujaa wa Vita ya Majimaji vilivyopiganiwa takribani miaka 119 iliyopita…