Latest Posts
Polisi jela maisha kwa kusafirisha mirungi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Mrakibu Msaidizi wa Polisi kituo cha polisi Usa wilayani Arumeru mkoani Arusha, F 21639, John Peter Shauri amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kukutwa na hatia ya shtaka la uhujumu uchumi la kusafirisha dawa za…
Mradi utafiti mafuta, gesi wafikia asilimia 40
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limesema Mradi wa Utafiti wa Mafuta ghafi na gesi kwenye Bonde la Eyasi Wembere lililopo katika mikoa ya Simiyu, Singida na Arusha utekelezaji wake umefikia asilimia 40. Mradi huo unaotekelezwa kwa fedha za…
Gachagua – Mimi na familia yangu tupo hatarini
Aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya amedai kuwa, Ruto hakuwa na nia ya kufanya kazi nami na alitaka tu kunitumia kupata watu kushinda uchaguzi”, ameambia wanahabari. Gachagua amezungumza hayo akiwa anatoka katika Hospitali ya Karen alipokuwa anatibiwa. Rigathi Gachagua ameendelea kudai…
Magonjwa yasiyoambukiza yamekuwa tishio nchini – Mhagama
N a WAF – Bugando, Mwanza Watanzania wametakiwa kujenga utamaduni wa kufanya mazoezi ili kuepuka kupata magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo saratani, kisukari na shinikizo la juu la damu kwa kuwa magonjwa hayo yamekuwa yakiongezeka kila mwaka. Waziri wa Afya Mhe. Jenista…
Serikali ya Tanzania uhifadhi wa mifumo ya ikolojoa katika hifadhi ndio kipaumbele – Profesa Male
Na Mwandishi Wetu,New York Marekani. Katibu Mtendaji wa Tume ya UNESCO Tanzania Profesa Hamisi M. Malebo amesema Serikali ya Tanzania imeweka kipaumbele katika kulinda mifumo ya uhifadhi wa ikolojia iliyomo katika ardhi ya Tanzania. Prof Malebo amesema pamoja na ukweli…
Mapinduzi ya nishati vijijini na mchango wake katika maendeleo Pwani
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani “Kwa miaka mingi tuliteseka na vibatari na chemli, tukishindwa kufikiria maisha bor, lakini kufikia 2018/2019, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilitukomboa,” anasema Asiah Hussein, mkazi wa kijiji cha Mbwidu, kata ya Ubena,Jimbo la…