Latest Posts
Biteko afanya mazungumzo na mwakilishi wa heshima wa Tanzania Singapore
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Oktoba 21, 2024 akiwa nchini Singapore amekutana na kufanya mazungunzo na Mwakilishi wa Heshima wa Tanzania nchini humo, Bw. Teo Siong Seng ambaye pia ni mwenyekiti mwenza wa…
Kafulila : Kampuni ya COVEC ya China kumaliza kero ya foleni Dar
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali inafanya mazungumzo na kampuni ya China Overseas Engineering Group Co. Ltd. (COVEC) ambayo imeonesha nia kuwekeza Dola za Marekani bilioni 1 (zaidi ya Shilingi trilioni 2.7) kujenga barabara zenye lengo la kupunguza…
RC Manyara ataka michezo kutumika kukuza Uhifadhi na Utalii
Na Mussa Juma, JamhuriMedia, Babati Mkuu wa Mkoa Manyara, Qeen Sendika ametaka sekta ya michezo mkoa Manyara kuendelea kutumika katika kukuza Utalii na uhifadhi wa mazingira na wanyamapori. Sendeka alitoa agizo hilo katika fainali ya michuano ya Chemchem CUP 2024…
3,000 washiriki uzinduzi kampeni ya Tuwaambie kabla hawajaharibika Arusha
Na. Mwandishi Jeshi la Polisi Arusha Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limezindua kampeni ya tuwaambie kabla hawajaharibiwa kwa lengo la kuongea na wanafunzi kuanzia elimu ya awali hadi vyuo vikuu kwa ajili ya kuwaelimisha juu ya kujitambua ili kujiepusha…
Gambo amuonya Lema kuacha siasa za propaganda
Mbunge wa Jimbo la Arusha mjini Mrisho Gambo,amemtaka Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya kaskazini Godbless Lema kuacha siasa za propaganda badala yake atumie fursa hiyo kuhamasisha wananchi kujiandikisha kwa wingi kwenye daftari la wapiga kura ili wapate haki yao ya…
Mifumo ya taasisi saba imeanza kusomana
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Katika mwaka 2023/24, Kituo cha Uwekezaji kimekamilisha ujenzi wa Mfumo wa Kielektroniki wa Kuhudumia Wawekezaji (Tanzania Electronic Investment Window – TeIW) kwa awamu ya kwanza ambao ulizinduliwa Septemba, 2023. Mfumo huo umeunganishwa na…