Latest Posts
GST kukamilisha upatikanaji wa ithibati vyungu kuyeyushia sampuli za dhahabu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mwenyekiti wa Kamati ya Utawala na Fedha ya Bodi ya Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST), CPA Constantine Mashoko ameitaka Menejimenti ya taasisi hiyo kukamilisha mchakato wa upatikanaji wa Ithibati wa Vyungu…
Kamati ya Bunge yaridhishwa utendajikazi Wizara ya Nishati
Yakoshwa na ETDCO kuongeza ufanisi wa kazi
Kapinga asema Serikali itaendelea kuboresha upatikanaji wa Nishati safi ya Kupikia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeeleza kuridhishwa kwake na majukumu yanayotekelezwa na Wizara ya Nishati na Taasisi…
Shule za Mbeya kufanyiwa ukarabati mkubwa, zitoe mazingira bora ya kujifunzia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya Mkurugenzi Mtendaji wa Jiji la Mbeya, John Nchimbi, ametangaza mpango mkubwa wa kuboresha miundombinu ya shule za msingi ndani ya jiji hilo, akieleza kuwa hatua hii ni sehemu ya juhudi za kuleta maendeleo endelevu katika…
Watu nane wafariki kwa ajali, wengine 36 wajeruhiwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Watu nane wamefariki dunia na wengine 36 wamejeruhiwa baada ya basi la abiria mali ya Kampuni ya Nyehunge kugongana na basi la Asante Rabi alfajiri ya saa 12 Oktoba 22,2024 katika eneo la Ukiriguru Wilaya…
Chadema imepoteza ushawishi – Dkt. Slaa
Na Mwandishi Wetu, JammhuriMedia, Dar es Salaam Kada na kiongozi muandamizi wa zamani wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa, ameshutumu vikali chama hicho kwa kushindwa kujiandaa kikamilifu kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa, vitongoji, na vijiji. Katika kauli yake isiyo na…
Wizara ya Habari yatiliana saini makubaliano ya uwekezaji na Kampuni ya China
Na Mwandishi wetu, JamuhuriMedia, Dar es salaam Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Oktoba 21, 2024, imetiliana saini makubaliano ya uwekezaji na mafunzo na Kampuni ya Huduma za Mawasiliano ya Kielekroniki ya China (CECIS LTD) ambapo kupitia makubaliano…