JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Setilaiti iliyotengenezwa na Boeing yavunjika angani

Setilaiti ya mawasiliano iliyotengenezwa na kampuni kubwa ya vyombo vya angani ya Boeing imevunjika kwenye uzingo. Mwendeshaji satelaiti, Intelsat, amethibitisha “hasara ya jumla” ya iS-33e, ambayo imeathiri wateja katika maeneo ya Ulaya, Afrika na sehemu za eneo la Asia-Pasifiki. Intelsat…

Geita yaupokea mradi wa bilioni 17 kusambaza umeme kwenye vitongoji 105

βœ…βœ³οΈWateja 3,465 watanufaika na Mradi huo Mkuu wa mkoa wa Geita, Mhe. Martine Shigela, leo jioni, tarehe 22 Oktoba, 2024 amempokea rasmi, mkandarasi, kampuni ya CCC (Beijing) Industrial and Commercial Ltd; kampuni kutoka China, iliyoshinda kandarasi ya Mradi wa Kusambaza…

Kongamano la ARGe0-C10 kuongeza kasi uendelezaji jotoardhi Afrika Dk Mataragio

πŸ“Œ Asema hazina ya Jotoardhi bado haijatumika ipasavyo Afrika πŸ“Œ Aeleza juhudi za Tanzania kuendeleza vyanzo vya Jotoardhi πŸ“Œ Ahitimisha Mafunzo ya Jotoardhi kwa Washiriki Kongamano la ARGeo-C10 πŸ“Œ Wahitimu wataja falsafa ya ujamaa kuendeleza Jotoardhi Naibu Katibu Mkuu wa…

Urusi yafanya mashambulizi usiku kucha mjini Kyiv Ukraine

Jeshi la Ukraine limesema kuwa kitengo chake cha ulinzi wa anga kimedungua droni 59 kati ya 116 zilizorushwa na Urusi usiku kucha. Jeshi hilo limeongeza kuwa lilipoteza mwelekeo wa droni 45 ambazo huenda zilianguka katika eneo lake. Jeshi hilo pia…

Profesa Mkumbo avutiwa na utendaji wa bandari ya Dar

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dar es Salaam Waziri Ofisi ya Raisi Mipango na Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo amepongeza uwekezaji mkubwa unaoendelea kufanywa na kampuni ya kimataifa ya uwekezaji ya DP World katika bandari ya Dar Es Salaam na kuangalia ni namna…

FCS, LATRA CCC wasaini makubaliano kuimarisha ulinzi na haki ya walaji sekta ya usafiri ardhini

Na Magrethy Katengu, JamuhuriMedia,Dar es Salaam Foundation for Civil Society (FCS) na Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini (LATRA CCC) wamesainiana Mkataba wa Makubaliano (MoU) wa miaka mitatu ili kuimarisha ulinzi wa walaji na haki zao…