Latest Posts
Kikwete apokea msaada wa vifaa tiba na madawati NMB
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Chalinze Aziita sekta binafsi kushirikiana na serikali kutatua changamoto za wananchi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo…
Serikali Zanzibar kujenga uwanja mkubwa michezo utakaokubalika na FIFA, CAF
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema inajipanga kujenga uwanja mkubwa wa michezo utakaokuwa na vigezo vinavyokubalika na Shirikisho la Soka Duniani FIFA pamoja na Shirikisho la Soka Barani Afrika CAF. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti…