Latest Posts
Anayetuhumiwa kumteka Dk. Ulimboka azungumza
*Ni Kamanda Msangi anyeongoza Tume ya kuchunza utekaji ulivyotokea
*Ujumbe wasambazwa kuwa ndiye alimpora simu ya mkononi na ‘wallet’
*Yeye asema amekatishwa tamaa, Professa Museru aeleza alichosikia
Askari anayetuhumiwa kumteka Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Nchini, Dk. Stephen Ulimboka, Kamishna wa Polisi Msaidizi (ACP), Ahmed Msangi, amehojiwa na kuzungumzia kilichotokea kuhusiana na tuhuma kwamba aliambiwa arejeshe simu ya mkononi na pochi ya Dk. Ulimboka.
Quotes
Washington: Utumwa unanikera
“Ninaloweza kusema ni kwamba hakuna mtu aliye hai mwenye kutamani kwa dhati kuona utumwa unakomeshwa zaidi yangu.”
Haya ni maneno aliyoyasema Rais wa Kwanza wa Marekani, George Washington, wakati wa harakati wa kulipatia taifa hilo uhuru kutoka kwa Waingereza. Marekani ilipata uhuru wake mwaka 1776.
****
Katiba Mpya, Tanzania Mpya 11
Kama nilivyoahidi wiki iliyopita, kwamba baada ya kuwa tumemaliza kulizungumzia suala la Muungano kwa urefu na upana, ningeanza kuzungumzia suala la ardhi katika Taifa letu na jinsi Katiba ya sasa inavyolieleza suala hilo na umiliki wake kwa Watanzania. Hebu…
Twende tuwekeze Sudan Kusini – Jenerali Kisamba
*Saruji, ngano, vifaa vya ujenzi, alizeti vinahitajika *Asema majirani zetu wameshaanza kunufaika mno Ushauri umetolewa kwa Tanzania na Watanzania kuamka na kuchangamkia fursa za uwekezaji na biashara zilizojitokeza katika taifa jipya la Sudani Kusini. Ushauri huo umetolewa na…
Habari mpya
- RC Chalamila: Kuanzia Januari Kariakoo itakuwa masaa 24
- Jeshi la polisi Dodoma latoa mwelekeo wake msimu wa Sikukuu
- Dk Nchimbi aguswa na kasi ya utekelezaji ilani Tabora
- BoT: Malipo yanayofanywa kwa kutumia mashine za POS ni bure
- Waziri Chana amuapisha Kamishna Uhifadhi NCAA, ampa maagizo mazito
- Desemba 31, 2024 mwisho wa matumizi ya mkaa kwa taasisi za Serikali Dar
- Mvua yasababisha vifo vya watu sita, nyumba zaidi ya 25 zaanguka Same
- Watu 38 wafariki Congo, wengine wapotea
- Trump kuwashughulikia waliobadili jinsia
- Watu 94 wamekufa kufuatia kimbunga Chido
- Kasesela : Mbunge, diwani atakayeshindwa kutetea nafasi yake ajilaumu mwenyewe
- Gridi za Tanzania, Kenya kuimarisha upatikanaji umeme nchini : Gissima Nyamo-Hanga
- Balozi Nchimbi akutana na Kardinali Rugambwa Tabora
- Msajili Hazina atangaza kifo cha Mkurugenzi Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Amos Nnko
- Waziri Mkuu wa Slovakia akutana na Putin katika ziara ya kushtukiza mjini Moscow