Latest Posts
Wakuu wa Polisi EAC wajadili uhalifu uliovuka mipaka
Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia,Dar es Salaam Jumuiya ya Afika Mashariki EAC imesema itahakikisha inaweka mikakati ya kupambana na uhalifu uliovuka mipaka ikiwemo usafirishaji binadamu,dawa za kulevya,ugaidi na hualifu wa mitandao . Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP…
Jenerali Mkunda awavisha nishani mbalimbali majenerali Zanzibar
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda kwa niaba ya Mhe Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt Samia Suluhu Hassan amewavisha nishani mbalimbali Majenerali, Maafisa na Askari wa Pemba na Unguja Zanzibar leo Oktoba…
Bilioni 15 kusambaza umeme kwenye vitongoji 105 Simiyu
………………. Wateja 3,465 wataunganishwiwa huduma ya umeme Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Simiyu Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA); tarehe 24 Oktoba 2024 imemtambulisha rasmi mkandarasi; kampuni ya CCC (Beijing) Industrial & Commercial Ltd; kampuni kutoka China, itakayotekeleza Mradi wa…
Bwana harusi acharuka
*Ni baada ya kugundua kuwa mkewe hajakeketwa *Amkeketa kwa nguvu ili akubalike kwenye familia *Dawati la Jinsia Mugumu lashindwa kutoa msaada Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Serengeti WAKATI jamii ikipambana kukomesha vitendo vya ukeketaji, hali ni tofauti ndani ya familia moja katika Kijiji…
Chad, Jamhuri ya Afrika ya Kati wataka kuunda kikosi mseto cha usalama mpakani
Itifaki hii ilianzishwa na mawaziri wa ulinzi wa nchi hizo mbili baada ya siku nne za tume ya pamoja mjini Bangui, kulingana na chanzo kimoja. Chad na Jamhuri ya Afrika ya Kati, ambazo zinatumia mpaka wa karibu kilomita 1,200, pia…