Latest Posts
Serikali isipuuze, udini upo, iudhibiti – 3
Wote tunakubali kuwa elimu ni ufunguo wa maisha. Kumnyima mtu au kundi moja ni sawa kumnyima mtu au kundi hilo maendeleo ya maisha yeke au yao katika uchumi madaraka, ajira na tija nyinginezo.
Mashindano ya Miss Tanzania yafutwe
Wakati huu wa harakati za kutoa maoni ya Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni wakati mwafaka kutafakari kama mashindano ya ‘Miss Tanzania’ yanaikosea Tanzania. Mwaka 1964 Serikali ilipiga marufuku mashindano hayo lakini yakaibuka kinyemela mwaka 1994 kwa mfano wa Azimio la Zanzibar, lililoibuka mwaka 1992 bila mwafaka wa kitaifa, na kuathiri Azimio la Arusha lililozaliwa mwaka 1967.
EfG inavyopinga ukatili kwa wanawake
Shirika lisilo la Serikali la Kuwezesha Wanawake Kibiashara (EfG) Tanzania, limekuwa mstari wa mbele kusaidia wafanyabiashara wasio katika sekta rasmi, ikiwa ni juhudi za kuinua nafasi zao katika nyanja mbalimbali ikiwemo ya kiuchumi.
Je, ushirikina unafanikisha biashara?
Mapema mwaka huu nilikuwa miongoni mwa maelfu ya wakazi wa mji wa Iringa, waliokwenda kushuhudia sakata la misukule katika Frelimo, iliyodaiwa kuwa kwenye nyumba ya mama mmoja mfanyabiashara maarufu mjini hapa. Licha ya kufika mapema sana eneo hilo lakini sikubahatika kuona misukule!
NHC yazidi kujiimarisha
*Kasi ujenzi nyumba za makazi, vitegauchumi yaongezeka
*Nyumba 1,000 kwa wenye kipato kidogo kujengwa mikoa 14
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) linaendelea kutimiza dhima ya kuanzishwa kwake kwa kuhakikisha linatekeleza miradi mbalimbali ya ujenzi wa nyumba za makazi na vitega uchumi.
Kwa sasa NHC imekamilisha baadhi ya miradi, mingine inaendelea na pia imejiwekea mpango mkakati wa kuendelea na ujenzi wa nyumba kwa mahitaji mbalimbali nchini.
JKT ni mtima wa Taifa (5)
JKT ni mtima wa Taifa (5)Napenda kukumbusha wahusika kuwa wakati utaratibu wa kuwaita vijana kwa mujibu wa sheria ukiandaliwa katika ile (White Paper No. 2 ya mwaka 1966), katika ibara ya 9, kulianishwa masomo ya kuwafundisha vijana wote katika JKT.
- Serikali kuendelea kupokea maoni Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050
- Mchakato wa Dira 2050 waanza, AZAKI watoa maoni
- Waziri Mkuu awasili Uganda kumwakilisha Rais Samia mkutano wa kilimo
- Dk Mpango: Tanzania inathamini ushirikiano wake na Marekani
- Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora yachunguza vifo vya watu wawili Pemba
Habari mpya
- Serikali kuendelea kupokea maoni Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050
- Mchakato wa Dira 2050 waanza, AZAKI watoa maoni
- Waziri Mkuu awasili Uganda kumwakilisha Rais Samia mkutano wa kilimo
- Dk Mpango: Tanzania inathamini ushirikiano wake na Marekani
- Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora yachunguza vifo vya watu wawili Pemba
- Tanzania, Japan zatia saini hati ya makubaliano ushirikiano miradi ya afya nchini
- RC Makonda autaka uongozi Jiji Arusha kuwapa kipaumbele wazawa
- Wizara ya Elimu mbioni kuzindua mitaala mipya iliyoboreshwa
- Mwinyi: Zanzibar itaendelea kuweka mazingira mazuri kwa wawekezaji sekta ya Uchumi Buluu
- REA yaendelea ilipoishia umeme nyumba kwa nyumba
- Mahakama ya Juu Marekani yakataa ombi la Trump la kusitisha hukumu dhidi yake
- Dk Gwajima aagiza kuundwa kamati za ulinzi wa watoro
- Jokate awapa tano vijana kwa maandalizi mazuri ya Mkutano Mkuu CCM
- Polisi wathibitisha kumshikilia Dk Silaa
- Waziri Kabudi apokea taarifa ya vazi la taifa