Latest Posts
Muungano ndiyo mboni ya Tanzania (1)
Ipo methali moja ya Kiswahili isemayo, “Usipoziba ufa utajenga ukuta”. Methali hii ina fundisho kubwa sana katika maisha yetu ya kila siku.
Nyangwine amkosoa January Makamba
*Asema kauli yake inabagua wazee CCM
*Aahidi kumuunga mkono mzee Wasira
Kauli iliyotolewa na Mbunge wa Bumbuli, January Makamba, kwamba mtu yeyote aliyezaliwa mwaka 1961 hapaswi kuwa Rais wa Tanzania, imemkera Mbunge wa Tarime, Nyambari Nyangwine.
ADC: Tutajipima Uchaguzi Mkuu 2015
*Limbu atamba kudhibiti makundi
Wakati Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) vikitamba kung’ara katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka 2015, Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) kimesema muda wa miaka mitatu uliobaki unatosha kujipanga kutwaa uongozi wa nchi.
Tanesco inawakera wateja Dar es Salaam
Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (Tanesco), limeanza kuwakera wateja wake jijini Dar es Salaama, hata baada ya uongozi wa wizara husika kutangaza kikomo cha tatizo la mgawo wa nishati hiyo.
Mihadarati sasa yapigiwa upatu
Nilipokuwa nchini Ghana kwa mafunzo ya vitendo mwishoni mwa miaka ya ’80, nilishangazwa na daktari mmoja. Nakumbuka ilikuwa katika Korle-Bu Teaching Hospital ya Chuo Kikuu cha Accra, na bado sijausahau mtaa wake – Guggisberg Avenue katika mji mkuu, Accra.
JK asifu utendaji wa Mchechu NHC
Rais Jakaya Kikwete ameusifu utendaji wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba (NHC), Nehemia Mchechu, kwamba umerudisha heshima ya shirika hilo.
Ameisifu pia Bodi ya NHC, wafanyakazi wa shirika hilo kwa kutoa ushirikiano mzuri kwa mkurugenzi huyo.
- RC Makonda autaka uongozi Jiji Arusha kuwapa kipaumbele wazawa
- Wizara ya Elimu mbioni kuzindua mitaala mipya iliyoboreshwa
- Mwinyi: Zanzibar itaendelea kuweka mazingira mazuri kwa wawekezaji sekta ya Uchumi Buluu
- REA yaendelea ilipoishia umeme nyumba kwa nyumba
- Mahakama ya Juu Marekani yakataa ombi la Trump la kusitisha hukumu dhidi yake
Habari mpya
- RC Makonda autaka uongozi Jiji Arusha kuwapa kipaumbele wazawa
- Wizara ya Elimu mbioni kuzindua mitaala mipya iliyoboreshwa
- Mwinyi: Zanzibar itaendelea kuweka mazingira mazuri kwa wawekezaji sekta ya Uchumi Buluu
- REA yaendelea ilipoishia umeme nyumba kwa nyumba
- Mahakama ya Juu Marekani yakataa ombi la Trump la kusitisha hukumu dhidi yake
- Dk Gwajima aagiza kuundwa kamati za ulinzi wa watoro
- Jokate awapa tano vijana kwa maandalizi mazuri ya Mkutano Mkuu CCM
- Polisi wathibitisha kumshikilia Dk Silaa
- Waziri Kabudi apokea taarifa ya vazi la taifa
- Mkuu wa jeshi achaguliwa kuwa rais wa Lebanon
- Dk Biteko aridhishwa na ujenzi wa kituo cha Gesi Asilia CNG Ubungo
- Bajaji, bodaboda marufuku kufika mjini Januari 20-RC Chalamila
- RC Chalamila afanya maandalizi ya Mkutano wa wakuu Afrika wa nishati, akagua miradi Dar
- Waziri Fedha aitaka TRA kuwa wakali kwa wafanyabiashara sugu wanaokwepa kodi
- Dk Biteko aagiza kituo cha huduma kwa wateja TANESCO kusukwa upya
Copyright 2024