Latest Posts
Bravo Toure, Drogba, Song
Gazeti Jamhuri linaungana na wadau mbalimbali wa mchezo wa mpira wa miguu (soka) barani Afrika kama si duniani kuwapongeza wachezaji viunga mahiri, Yaya Toure, Didier Drogba na Alex Song kwa kutwaa ushindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora barani Afrika.
Muungano ndiyo mboni ya Tanzania (2)
Kwa akili za kawaida kabisa, mtu unajiuliza kwani huo uislamu au ukabila umejikita katika mkoa wa mjini magharibi tu? Kwani Zanzibar na Pemba ni mkoa huo huo mmoja tu? Mbona kiserikali tunajua iko mikoa mitano Visiwani? Mjini Magharibi, Mkoa wa Kusini Unguja, Mkoa wa Kaskazini Unguja kuna Chakechake kule Pemba na Mkoani kule Kusini Pemba ?
Watanzania tuache woga kudai haki
Wiki mbili zilizopita, niliamua kubadili utaratibu wa kutumia usafiri wa daladala, nikachagua kutumia gari moshi (treni) kwenda kazini na kurudi nyumbani jijini Dar es Salaam. Siku moja, takriban dakika nne baada ya kuondoka kituo cha Ubungo Maziwa kuelekea…
Serikali isipuuze, udini upo, iuthibiti (5)
Kiongozi mwingine wa tatu wa dini ambaye ni vizuri kumsoma katika falsafa na kauli zake mbele ya Mwenyezi Mungu, ni Mwenyekiti Kamara Kasupa.
Mauaji yanauchafua mkoa wa Mara
Mauji ya raia wasiokuwa na hatia yanaendelea mkoani Mara. Kwa miaka mingi Wilaya ya Tarime ndiyo iliyosifika kwa vitendo hivyo.
Sarafu moja Afrika Mashariki ni mtego – 2
Wiki iliyopita niliandika juu ya hatari ya kuanzishwa kwa sarafu moja katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kabla ya kukamilisha matakwa ya msingi yenye kujenga mfumo wa kuwezesha sarafu moja kufanya kazi kwa ufanisi. Nilieleza mambo mengi yanayohitaji kufanyika kabla ya kufikia uamuzi wa kuanzisha sarafu moja au la.