Latest Posts
Silaa: Nawakilisha vijana CC
Msatahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa, amesema anamshukuru Mungu, Rais Jakaya Kikwete na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC-CCM), kwa kumchagua kwa kishindo kuingia katika Kamati Kuu (CC) ya chama hicho.
Ushirikina washika kasi Mbeya
Wimbi la ushirikina limezidi kushika kasi mkoani Mbeya kutokana na kuripotiwa kwa matukio mbalimbali yanayoashiria vitendo hivyo ikiwemo ya uchomaji moto nyumba za watu na wengine kuzikwa wakiwa hai.
Mgiriki aiweka ‘Serikali’ mfukoni
*Aingia Selous kuua wanyamapori
Raia wa Ugiriki, Pano Calavrias, aliyeghushi uraia wa Tanzania na kisha kuhukumiwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, mwaka 2010 kwa kosa la kukutwa na hati ya kusafiria ya Tanzania kinyume cha sheria, yupo nchini akiendelea na uwindaji wa kitalii.
Mgogoro mpya CCM
*Viongozi waendelea kufitiniana kupata urais, ubunge 2015
*Kinana aonya, akemea wabunge wasiokwenda majimboni
*Aikubali hoja ya Dk. Slaa, ataka wawekezaji feki watimuliwe
*Ataka wagombane kuboresha maisha ya watu si kuingia Ikulu
Mgogoro mpya wenye sura ya kuwania madaraka ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kama uliotokea mwaka 2007 ukaivunja Serikali, sasa unafukuta upya katika hatua tatu tofauti, JAMHURI imebaini.
RATIBA YA LIGI KUU TANZANIA BARA
Jumatano Februari 13, 2013 Kagera Sugar Vs Coastal Union Toto Africans Vs Polisi Moro Mgambo JKT Vs JKT Oljoro Mtibwa Sugar Vs Ruvu Shooting African Lyon Vs Yanga SC
Liverpool yamhitahi Manuel Iturra
Baada ya kuongeza Philippe Coutinho mwezi uliopita, Meneja wa Klabu ya Liverpool, Brendan Rodgers, sasa anahitaji kuongeza kiungo mwingine, Manuel Iturra, kwenye kikosi chake. Klabu ya Malaga ilisaini na kiungo huyo msimu uliopita lakini mkataba huo ulifutwa mwishoni mwa…