Latest Posts
Siri za nyumba za mawaziri zavuja
*Baadhi wadaiwa ‘kuzikacha’
Matumizi ya nyumba za mawaziri jijini Dar es Salaam yamegubikwa na siri nzito. Inadaiwa kuwa baadhi ‘wamezitosa’ kwa kisingizio cha kukosa usiri.
Lowassa amponza Kibanda
*Taarifa za awali zahusisha kutekwa na urais 2015
*Risasi aliyopigwa ilifumua jicho, ikatokea kisogoni
Tukio la Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Absalom Kibanda, kutekwa, kupigwa, kung’olewa meno, kukatwa kidole na kung’olewa kucha limeanza kuhusishwa na mlengo wa kisiasa.
NUKUU ZA WIKI 68
Nyerere: Tunamtaka rais anayechukia rushwa
“Rushwa ni adui wa haki. Tunamtaka rais atakayelitambua hilo, atakayeichukia rushwa hata ukimuangalia aoneshe kweli anaichukia rushwa, sio rais anayesema kweli rushwa ni adui wa haki…. lakini ukimwangalia usoni unashangaa na kusema…. aaaah kweli huyu?”
Maneno haya ni ya Baba wa Taifa letu, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Leo ni leo Man United vs Real Madrid
Leo ni leo, asemaye kesho ni mwongo. Timu maarufu za soka barani Ulaya, Manchester United na Real Madrid, leo zinatinga uwanjani kumenyena katika kinyang’anyiro cha Mabingwa wa Ulaya (UEFA). Manchester United inatinga katika mtanange huo ikiwa inajivunia mshambuliaji wake, Christiano…
RATIBA YA LIGI YA MABINGWA ULAYA (UEFA) 2013
Jumanne Machi 5, 2013 Man. United vs Real Madrid saa 4:45 usiku Dortmund vs Shakhtar Do. Saa 4:45 usiku Jumatano Machi 6, 2013 Juventus vs Celtin …
Ligi ya Mwanza mwendo mdundo
Mashindano ya soka ya Ligi ya Mkoa wa Mwanza msimu huu, yametajwa kuwa na msisimko mkubwa ikilinganishwa na msimu uliopita. Msisimko huo unadhihirishwa na ongezeko kubwa la mashabiki na wapenzi wa soka, wanaojitokeza kushuhudia na kushangilia mechi husika katika viwanja…