Latest Posts
Trump asitisha misaada yote ya kijeshi ya Marekani kwa Ukraine
Rais wa Marekani Donald Trump amesitisha misaada yote ya kijeshi kwa Ukraine kufuatia mzozo wake na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy wiki iliyopita, amesema afisa wa Ikulu ya White House. “Rais Trump amekuwa wazi kuwa anataka amani. Tunataka pia washirika…
‘Toeni maelezo sahihi kupata msaada wa kisheria’
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Jumanne Sagini amewashauri wananchi wenye changamoto mbalimbali za kisheria kutoa maelezo sahihi ili kuwasaidia watoa huduma za msaada wa kisheria kupitia kampeni ya Mama Samia Legal Aid kutatua changamoto…
Sheria kuitambua maabara Tume ya Madini
• Mbioni kupata Ithibati Maabara ya Tume ya Madini sasa imetambulika rasmi kisheria na ipo mbioni kukamilisha mchakato wa kupata Ithibati. Maabara hiyo ya Tume ya Madini iliyopo Msasani jijiini Dar es Salaam ambayo kwa sasa inatambulika kisheria inafanya kazi…
Tanzania yavunja rekodi ongezeko la wanyamapori
Na Emmanuel Buhohela – Dodoma Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amesema ongezeko la idadi ya Wanyamapori katika hifadhi za Wanyama hapa nchini imetokana na juhudi za serikali kushirikisha wadau wa uhifadhi wa Wanyamapori na wananchi…