JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mawaziri wagongana

*Dili ya uwekezaji yawafanya washitakiane kwa Waziri Mkuu

*Wajipanga kumkabili Kagasheki, naibu achekea kwenye shavu

Mawaziri wawili na wabunge kadhaa wameungana dhidi ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki, kukoleza mgogoro ulioibuka Loliondo.

NUKUU ZA WIKI

Nyerere: Napenda vyama viwili vya kijamaa “Mimi binafsi nitafurahi sana kuona Tanzania nayo ikiwa na vyama viwili vya kijamaa; na ikakataa kabisa kabisa kuweka vyombo vyake vya ulinzi na usalama mikononi mwa wapiganaji wa siasa hiyo.”   Baba wa Taifa…

TFF, Simba, Yanga wanaua uwekezaji soka la vijana

Karibu kila mdau wa michezo ninayezungumza naye kuhusu mustakabali wa maendeleo ya tasnia hiyo hapa Tanzania, anagusa uwekezaji kwa vijana. Nilivutwa na kuamini katika uwekezaji wa soka la vijana, baada ya serikali kumwajiri kocha wa timu ya Taifa, kutoka Brazil, Marcio Maximo.

Je, Mkristo akichinja ni haramu?-2

Wiki iliyopita, tulichapisha sehemu ya kwanza ya makala haya yenye kufafanua tatizo linaloendelea hapa nchini juu ya haki ya kuchinja. Ifuatayo ni sehemu ya pili ya mfululizo wa makala hizi. Wapo walioahidi kuandika makala za kuhalalisha msimamo wa sasa wa kuchinja baada ya kusoma makala haya, tunatarajia yakitufikia tu, nayo tutayachapisha kwa nia ya kuongeza uelewa. Endelea…

FASIHI FASAHA

Watanzania tunakinyanyasa, kukibeua Kiswahili – 2

 

Juma lililopita nilizungumzia lugha yetu ya Kiswahili. Katika makala yale tuliona baadhi ya maandishi yenye kauli zinazoonesha mashaka au wasiwasi wa kunyanyaswa na kubeuliwa Kiswahili.

Haya nayo yana mwisho

Ninapotafakari mwenendo wa kiti cha Spika, sioni kama kuna umuhimu wa kuwa na Bunge.

Kumbe basi, Tanzania tunaweza kuendesha mambo bila kuwa na hiki chombo ambacho katika nchi nyingine, ni chombo kitakatifu.