Latest Posts
Kero ya ombaomba wa London
Kwa asili nachukia kuomba bila sababu na nilijengewa tabia hiyo na wazazi waliotumia vyema nguvu zao kujitegemea na kututegemeza.
Kashfa uporaji ardhi kubwa…
Pinda ahusishwa
*Mmoja wa washirika ajitoa kuepuka aibu
*Ni Chuo Kikuu cha Iowa cha Marekani
*Yabainika wanaleta teknolojia hatari nchini
Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ameendelea kubanwa kuhusu uamuzi wake wa kuwasaidia Wamarekani kujitwalia ekari laki nane za ardhi kwa miaka 99 mkoani Katavi.
Je, machozi ya walimu yatamimina fedha mitaani?
Tulizoea kusikia walimu wakilalamika, lakini safari hii wameamua kulia, na machozi yao yameonekana kupitia nia waliyoionyesha. Walimu sasa wametangaza mgogoro uliobeba mimba dhidi ya Serikali; ambako usipotatuliwa unatarajiwa kuzaa mgomo usio na kikomo.
Washington: Utumwa unanik
“Ninaloweza kusema ni kwamba hakuna mtu aliye hai mwenye kutamani kwa dhati kuona utumwa unakomeshwa zaidi yangu.”
Haya ni maneno aliyoyasema Rais wa Kwanza wa Marekani, George Washington, wakati wa harakati wa kulipatia taifa hilo uhuru kutoka kwa Waingereza. Marekani ilipata uhuru wake mwaka 1776.
****
Waislamu wenye akili hawa hapa
Siku kadhaa zilizopita nilikuwa miongoni mwa wale tuliotoa wito kwa wapendwa ndugu zetu Waislamu, kuwapuuza kina Sheikh Ponda na mwenzake Kundecha – ambao kila mara wamekuwa vinara wa migogoro na kuibua mambo yasiyo na tija kwa Waislamu na Watanzania.
Agizo alilotoa RC Tabora kwa ‘mchwa’ hawa watalitekeleza?
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatuma Mwasa, amezitaka Halmashauri za Wilaya mkoani humo kuhakikisha hazipati hati chafu za ukaguzi wa fedha za serikali, vinginevyo wakurugenzi watendaji na watumishi katika ngazi hizo wasioweza kutekeleza agizo hilo waache kazi.
Habari mpya
- Rais Samia: Serikali itaendelea kuweka mazingira rafiki kwa wawekezaji
- Wizara ya Michezo yaikabidhi siku 120 Suma JKT kukamilisha viwanja vya michezo
- Aweso ataka utafiti upatikanaji maji Dodoma
- Vijana Queens yafutiwa matokeo
- NMB kuchangia bil.1/- matibabu ya watoto JKCI
- Benki ya Dunia yaridhishwa na utekelezaji wa mradi wa Heet Chuo Kikuu Mzumbe
- Watoto 85 wapatikana kwa upandikizaji mimba Kairuki Green IVF
- Naibu Rais Mteule Kithure Kindiki kuapishwa leo
- Waliotuhumiwa kuingilia mfumo ya mawasiliano wasomewa mashtaka 120
- Madiwani Malinyi washauriwa kuwa mfano ya kutoa hamasa wananchi kushiriki Uchaguzi Serikali za Mitaa
- Fahamu kombora jipya la Korea Kaskazini linaloipa tumbo joto Marekani
- Baraza la Afya ya Akili kuanzishwa nchini
- Rais Dkt. Samia ashiriki mjadala kuhusu Kilimo barani Afrika nchini Marekani
- Rais Samia ateta na Mtendaji Mkuu wa Millenium Challenge Corporation
- ‘Maumivu ya kifua upande wa kushoto hutokana na tatizo la mshtuko wa moyo’