Latest Posts
Rais Nyerere alipokosa maji ya kuoga Kibondo
Mpenzi msomaji wa JAMHURI, katika toleo lililopita tuliona jinsi ambavyo Mwalimu Nyerere alijizatiti kutetea Muungano na mambo mengine mengi kwa maslahi ya Taifa letu. Sasa endelea na sehemu hii ya mwisho ya makala hiyo…
Yah: Julius, sisi tunakulilia katika jehanamu
Wiki moja iliyopita tulikuwa tunamkumbuka Julius, Julius Kambarage Nyerere, yule aliyepata kuwa Rais wenu wa Awamu ya Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Julius ambaye mimi naweza kumkumbuka vizuri ni yule Waziri Mkuu na baadaye Rais wa Tanganyika kijana kutoka Butiama, mtoto wa Mzee Nyerere Burito na Mama Mugaya wa Nyang’ombe.
Nyerere shujaa wa Tanzania, Utanzania na Watanzania
Kati ya watu wagumu kuwajadili hapa duniani ni Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Vigogo wagawana viwanja
Utapeli wa kutisha umefanywa na uongozi wa Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam, juu ya uuzaji viwanja katika eneo la Gezaulole.
Madaraka Nyerere azungumza
Mpenzi msomaji wa JAMHURI, katika toleo lililopita Madaraka Nyerere, ambaye ni mtoto wa Mwalimu Nyerere alielezea masuala mbalimbali kuhusu Mwalimu, familia yake na kutoa mtazamo wake juu ya hali ya maisha ya sasa ya Watanzania baada ya kifo cha baba wa Taifa. Ifuatayo ni sehemu ya mwisho ya makala hiyo…
BoT yajaa watoto wa vigogo
Wamo Salama Ali Hassan Mwinyi, Filbert Tluway Sumaye, Zaria Rashidi Kawawa, Blasia William Mkapa, Harriet Matern Lumbanga, Pamela Edward Lowassa, Rachel Muganda, Salma Omar Mahita, Justina Mungai, Kenneth Nchimbi, Violet Philemon Luhanjo, Liku Kate Kamba, Thomas Mongella na Jabir Abdallah Kigoda.