JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Dk. Kawambwa mtuhumiwa Na 1

Wiki iliyopita tuliandika maoni tukichagiza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda aanzishe mchakato wa kufukuzwa kazi katika Baraza la Mitihani Tanzania, Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Dk. Joyce Ndalichako. Tulisema uamuzi wa Baraza la Mitihani (NECTA)  kubadili mfumo wa kuchakata matokeo na kufanya wanafunzi wengi kushindwa hauvumiliki.

MISITU & MAZINGIRA

Uharibifu misitu: Janga linaloiangamiza Tanzania (3)

Nini kifanyike ili kuiokoa misitu ya asili isiendelee kuharibiwa na kutoweka? Yafuatayo yanafaa kuzingatiwa na kufanyiwa kazi ipasavyo:

Mnataka viashiria vya udini? Hivi hapa

Bunge limepitisha “Azimio la Bunge” linaloitaka Serikali ipambane ili kukomesha viashiria vyote vya udini nchini mwetu. Ni Azimio zuri.

Migiro hakuhujumu mchakato wa katiba

Kama tujuavyo, Watanzania tuko katika mchakato wa kutafuta Katiba mpya ya nchi yetu. Katika kipindi hiki, vyama vya siasa vinatoa maoni mbalimbali kuhusu mchakato huo. Nacho Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hakikubaki nyuma.

 

Kwanza niwapongeze ndugu zetu wa Chadema kwa mafanikio makubwa wanayopata katika kukusanya nyaraka nyeti.

Gwiji wa ujangili Arusha atambuliwa

Mtuhumiwa mkuu wa ujangili katika Hifadhi za Taifa za Serengeti, Tarangire na katika Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, aliyetiwa mbaroni wiki iliyopita, ametambuliwa kuwa ni Frank William (32) au maarufu kama “Ojungu”.

FIKRA YA HEKIMA

 

Polisi, Sumatra wanalea mawakala matapeli stendi ya mabasi Nyegezi  Ukifika kituo cha mabasi cha Nyegezi jijini Mwanza, huwezi kupinga malalamiko kuwa rushwa imenunua utendaji wa maofisa wa Jeshi la Polisi na Mamlaka ya Udhibiti wa Vyombo vya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA).