Latest Posts
Mwili wa marehemu Lawrance Mafuru wawasili viwanja vya Karimjee Dar
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefika Karimjee kuongoza waombolezaji katika kutoa heshima za mwisho kwa marehemu Lawrence Mafuru, aliyekuwa karibu na Mtendaji wa Timu ya Mipango kabla ya kifo chake. Lawrence Mafuru alifariki dunia akiwa nchini India, ambako alikuwa akipatiwa matibabu….
Jela miaka 30 kwa kubaka mtoto
Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Igunga Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Wilaya ya Igunga mkoani Tabora imemuhukumu Hamisi Ndari (33) mkazi wa kitongoji cha Mizanza, Kata ya Sungwizi kutumikia adhabu ya kifungo cha miaka 30 gerezani baada ya kupatikana na kosa…
Jeshi la Israel latangaza kuuawa kwa wanajeshi wake sita
JESHI la Israel lilitangaza siku ya Jumatano kuwa wanajeshi wake sita waliuawa katika mapigano kusini mwa Lebanon. Hii inaleta idadi ya wanajeshi waliouawa katika vita na Hezbollah tangu kuanza kwa mashambulizi ya ardhini kwenye ardhi ya Lebanon mnamo Septemba 30…
Rais Dkt. Samia kufungua mkutano wa kimataifa wa uwekezaji katika sekta ya madini 2024
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika sekta ya madini mwaka 2024 utakaofanyika kuanzia Novemba 19 hadi 21,…
Biden amkaribisha Trump Ikulu ya White House
Rais mteule wa Marekani Donald Trump jana Jumatano alifika Ikulu ya White House kwa mara ya kwanza tangu aliposhinda uchaguzi wa wiki iliyopita. Mazungumzo yao yalidumu kwa muda wa saa mbili. Trump na Rais Joe Biden anayemaliza muda wake, ambao…
Maendeleo uwekezaji mradi wa Liganga na Mchumba
*Utazalisha tani 219 za Chuma *Tani 175,400 za Titanium *Tani 5000 za Vanadium Wakati Serikali ikiendelea na jitihada mbalimbali za kutafuta mwekezaji wa mradi wa Liganga na Mchuchuma uliopo wilaya ya Ludewa mkoani Njombe,Tanzania inatarajiwa kuwa mzalishaji mkubwa wa madini…