Latest Posts
FIkRA YA HEKIMA
Tanzania imefilisika wanasiasa wakweli
Tanzania inaweza kuwa ndiyo nchi pekee katika Afrika na pengine duniani, yenye idadi kubwa ya viongozi wa kisiasa waongo na wanafiki kupindukia!
Vidonda vya tumbo na hatari zake (3)
Hata hivyo, watu wengi wamekuwa wakichanganya tumbo na fumbatio. Wanasema tumbo wakimaanisha fumbatio. Hapa nieleze kwa ufupi kuhusu fumbatio.
Ndoto ya pensheni kwa wazee wote kutimia (3)
Wiki iliyopita, katika mfululizo wa makala haya, mwandishi alieleza namna Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, alivyoshirikishwa na wazee wa Dar es Salaam na Bagamoyo katika masuala mbalimbali ya kulikomboa Taifa. Alikomea kwenye maelezo ya Mwalimu alivyoumwa kichwa, lakini akapona baada ya kufuturu nyumbani kwa Mzee Ramia. Endelea.
Haki, ukweli ni nguzo za amani (3)
Katika makala yaliyopita nilizungumzia ukweli kuwa nguzo mojawapo ya amani. Nilisema ukweli ni jambo ashrafu na ni nguvu moja ya amani. Watanzania hatuna budi kuelewa, kuthamini, kukumbuka na kutumia ukweli katika majadiliano na mazungumzo yetu, na wenzetu wa nchi za nje.
Watanzania wasaka kura BBA
Watanzania wanaoshiriki shindano la Big Brother Afrika (BBA) wanasaka kwa udi na uvumba kura za kuwawezesha kuendelea katika shindano hilo linalofanyika Johannesburg, Afrika Kusini.
RASIMU YA KATIBA MPYA 2013
Kimewaka
*Serikali ya Muungano kuwa na wizara nne
*Makao makuu ya Tanzania kuhamia Dar
* Tanganyika ni Dodoma , Wazanzibari wanalo