Latest Posts
Israel yashambulia mji wa Damascus
Shirika la habari la serikali ya Syria linasema kuwa takribani watu 15 waliuawa wakati wa mashambulizi ya anga ya Israel kwenye majengo mawili ya makazi magharibi mwa Damascus. Kwa mujibu wa ripoti hii, moja ya majengo hayo yapo katika kitongoji…
Kuelekea Maadhimisho ya UKIMWI Duniani,Serikali yaeleza ushamiri wa VVU kitaifa kuwa ni asilimia 4.4
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma KUELEKEA maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani December Mosi mwaka huu, idadi ya watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi nchini inakadiriwa kuwa 1,540,000 kwa mwaka 2022/23 ukilinganisha na takribani watu 1,700,000 mwaka 2016/17 . Hayo yameelezwa leo…
TMDA yawashauri watoa huduma, wagonjwa kutoa taarifa za vifaa tiba visivyokidhi viwango
Na Stella Aron, JamhuriMedia, Dar es Salaan Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa tiba Nchini (TMDA), Adam Fimbo amewataka waratibu wa Ufuatiliaji Usalama wa Dawa, Vifaa Tiba na Vitendanishi wameshauriwa kutoa taarifa za matukio na madhara ya vifaa…
Tabora United yapewa mil. 25/- kwa kuifunga Yanga, RC aahidi kuwapa mil.50/- wakiifunga Simba
Na Benny Kingson, JamhuriMedia, Tabora Milioni 25,600,000 zimetolewa kwa timu ya Tabora United ‘Nyuki wa Tabora – Wana Unyanyembe’ baada ya kuichapa Yanga mabao 3-1 wiki iliyopita kwenye mchezo wa Ligi Kuu uliochezwa kwenye uwanja wa Azam Complex Chamazi jijini…
EWURA yazawadia wahitimu bora Chuo cha cha Maji
Na Mwandishi Wetu Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imewazawadia wahitimu wawili bora wa Chuo cha Maji, Florence Theonist na Emmanuel Nyaki, kompyuta mpakato na fedha taslimu shilingi milioni sita (milioni 3 kwa kila mmoja) kama…