Latest Posts
Funga ya Ramadhani, hukumu, fadhila, adabu zake (Hitimisho)
Sheikh Dk. Ibrahim Ghulaam, katika sehemu ya tatu ya makala
haya alielezea kwa kina kuhusu yasiyofunguza na adabu za funga. Sasa fuatana naye katika sehemu hii ya mwisho…
Fadhila za funga
Zimepokewa hadithi nyingi zinazoelezea fadhila za funga ya Ramadhani, miongoni mwa hizo ni zifuatazo:
Kuna wamachinga wanaovuna mamilioni, walipe kodi stahiki
Hakuna binadamu anayependa kulipa kodi. Lakini Serikali haiwezi kujiendesha bila kodi, hivyo ni wajibu wa kila mtu mwenye sifa za kulipa kodi, kufanya hivyo.
Katiba Mpya iakisi uzalendo (Hitimisho)
Sehemu iliyopita, mwandishi alinukuu ibara ile ya kwanza ya
Mkataba wa Muungano na kusema mtu akiisoma atajua ilikuwa na viashiria vya undugu na umoja wetu wa asili kati ya watu wa nchi hizi mbili – Tanganyika na Zanzibar. Hii ni sehemu ya mwisho ya mfululizo wa makala ya Katiba Mpya iakisi uzalendo. Endelea
Maneno mazito namna hii na ya kizalendo kutoka kwa watu wa Zanzibar, leo mtu aje aseme mbona hatukushauriwa: Oh! mbona hatukuulizwa hivi. Wanaofyatuka kusema hivi walikuwa na umri gani Aprili 24, 1964? Pengine wala hawakuwa wameingia ulimwenguni. Leo waje na stori za watu wa Zanzibar eti waulizwe wanautaka Muungano au hawautaki ndipo Katiba yetu iandikwe ni sahihi kweli wazee wenzangu?
MISITU & MAZINGIRA
Misitu inavyokinufaisha Kijiji cha Nanjilinji ‘A’ (1)
Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi ni mojawapo za wilaya chache Tanzania Bara zilizobahatika kuwa na misitu ya asili ya kutosha ikilinganishwa na maeneo mengine nchini. Pamoja na kuwa na rsilimali misitu ya kutosha yenye aina za miti ya thamani sana mfano, mipingo (Dulbergia melanoxylon), Kilwa ni kati ya wilaya maskini nchini.
KONA YA AFYA
Vidonda vya tumbo na hatari zake (7)
Kuchelewa sana kula: Kuna maelekezo mengi ya wataalamu juu ya muda mzuri wa kula. Kuchelewa sana kula huweza kuleta tatizo la kiafya ikiwa ni pamoja na vidonda vya tumbo kama mtu atakuwa tayari ana mwelekeo wa kupata vidonda. Vile vile kula wakati husikii njaa si jambo zuri kwa afya. Kula ukiwa huna njaa (au umeshiba) hudhoofisha utendaji kazi wa mifumo inayohusika na usagaji chakula.
Mpunga, mahindi, miwa kuikomboa Tanzania
Leo nataka kujikita katika suala la Majadiliano ya Ushirikiano kwa Manufaa ya Wote Smart Partnership Dialogue, ambayo ni dhana ya kiubunifu na msingi wake ni kanuni ya ‘Stawi Jirani Yangu kwa Manufaa Yetu Sote’.
- Serikali yatoa milioni 400 kusambaza mitungi ya gesi kwa ruzuku Dodoma
- Rais Samia aipongeza Zanzibar kusimamia malengo ya Mapinduzi Matukufu kwa kuboresha elimu
- Wilaya 108 zafikiwa huduma za mawasiliano
- Rais Dkt. Samia akiwa kwenye uzinduzi wa Skuli ya Sekondari Misufini, Bumbwini Zanzibar
- Rais Dkt. Samia afungua Skuli ya Sekondari Misufini, Bumbwini Zanzibar
Habari mpya
- Serikali yatoa milioni 400 kusambaza mitungi ya gesi kwa ruzuku Dodoma
- Rais Samia aipongeza Zanzibar kusimamia malengo ya Mapinduzi Matukufu kwa kuboresha elimu
- Wilaya 108 zafikiwa huduma za mawasiliano
- Rais Dkt. Samia akiwa kwenye uzinduzi wa Skuli ya Sekondari Misufini, Bumbwini Zanzibar
- Rais Dkt. Samia afungua Skuli ya Sekondari Misufini, Bumbwini Zanzibar
- Trump aendelea kutishia kudhibiti Greenland na rasi ya Panama
- Mwili wa aliyekuwa Rais wa Marekani Jimmy Carter kuagwa Januari 9
- Umoja wa Ulaya waituhumu Urusi kutumia gesi kama silaha
- Urusi, Ukraine zaendelea kukabiliana vikali Kursk
- Naibu Waziri Kundo aongoza kikao kazi na watumishi sekta ya maji Pwani
- Juma Burhan: Mifumo ya kidijitali itaongeza uwazi, uwajibikaji
- Marekani yaishutumu Urusi kwa kufadhili vita Sudan
- Dk Nchemba afungua mafunzo ya Kamati ya PAC
- Tanzania kushirikiana na Italia kuendeleza sekta ya madini
- Idadi ya watu waliofariki tetemeko la ardhi Tibet yafikia 95