JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Sheria, rushwa vinakwaza udhibiti dawa za kulevya

* DCC yataka zitangazwe kuwa adui namba moja * Serikali yataka sheria mpya, mahakama maalum Mapambano dhidi ya dawa za kulevya bado yana safari ndefu hapa Tanzania kutokana na kusongwa na vikwazo lukuki vikiwamo vya sheria dhaifu, ukosefu wa sera…

BARUA ZA WASOMAJi

JAMHURI endeleeni kupinga maovu Tanzania

Ni muda mrefu toka nimeanza kufuatilia maandishi na machapisho ya gazeti hili.Nilipata kujiuliza maswali mengi na kuhangaika kwa muda wa miezi sita kutafakari na kujiuliza nini maana ya Jamhuri na ni kwanini wahusika na bodi nzima iliamua kuliita gazeti hili kwa jina la JAMHURI.

Ni chongo au kengeza?

Kuna msemo wa Kiswahili usemao ‘akipenda chongo huita kengeza’. Nimetoa msemo huu kwa nia njema tu ya kutaka kuangalia matukio kadhaa ya vurugu au ghasia, yanayotokea mara kwa mara hapa nchini na kusababisha baadhi ya watu wanaokuwa maeneo ya matukio kuumia, kujeruhiwa na wengine kupoteza maisha yao.

Mbio za Soweto Marathon matatani

Ugomvi umeibuka baina ya watayarishaji wa Mbio za Soweto Marathon nchini Afrika Kusini, wakisema hazitafanyika Novemba 3, mwaka huu.

Chameleon atwaa tuzo ya mwanamuziki bora Uganda

Msanii maarufu wa muziki nchini Uganda, Joseph Mayanja, maarufu kama, Jose Chameleon, hivi karibuni alitwaa tuzo ya msanii bora wa kiume wa kimataifa nchini humo. Chameleon ametwaa tuzo hiyo baada ya kuibuka mshindi katika kinyang’anyiro cha Msanii Bora wa Kiume wa mwaka katika tuzo za Africa Entertainment Awards, zilizofanyika jijini Kampala, hivi karibuni.