Latest Posts
Utawala bora hutokana na maadili mema (1)
Hivi karibuni Taifa letu la Tanzania limesherehekea sikukuu mbili muhimu na za kihistoria. Bara tulikuwa na sherehe za miaka 51 ya Uhuru wa Taifa letu Desemba 9, 2012 na Zanzibar tulikuwa na sherehe za miaka 49 ya Mapinduzi, Januari 12, 2013. Ni sikukuu za kihistoria maana bila kupata Uhuru toka kwa mkoloni na bila kumpindua Sultan sidhani kama tungekuwa na Jamhuri hii ya Muungano wa Tanzania .
EU itaisumbua sana Uingereza hii
Uamuzi wa Uingereza kupiga kura ya maoni kuwa ndani au nje ya Umoja wa Ulaya (EU) unaogopesha. Watu wanaweza kuona ni kitu kidogo hapa au hapo nyumbani, lakini ukizama kwa kina unaona kwamba tayari kuna mtetemeko kwenye sekta mbalimbali za jamiii.
Mtwara wapewe asilimia mbili
Kwa muda wa mwezi mzima wananchi wa Mkoa wa Mtwara wapo kwenye maandamano. Maandamano haya yanaelekea kulifikisha taifa katika uvunjifu wa amani. Wananchi wanatumia nguvu, na kuna uwezekanao Serikali nayo itafika mahala itaishiwa uvumilivu itaanza kutumia nguvu. Mungu apishe mbali.
Zitto, wanasiasa mnatenda dhambi mtakayoijutia
Kwa mwezi mzima sasa Taifa letu limegubikwa na vurugu za umiliki wa gesi. Wakazi wa Mkoa wa Mtwara wakiongozwa na propaganda za Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, ambaye sasa anazungumza lugha za malaika akidai anawatetea wananchi wa Mtwara, wanachimba mtaro kwa ajili ya mkondo wa maafa.
NICOL yamsafisha Mengi
Kampuni ya Taifa ya Uwekezaji (NICOL), imemsafisha mfanyabiashara maarufu nchini, ambaye ni Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni za IPP, Reginald Mengi kuhusu tuhuma za kuidhoofisha kampuni hiyo.
MAONI YA KATIBA MPYA YA TANZANIA
Chadema: Tunataka Serikali tatu – 3
Wiki iliyopita tulikuletea sehemu ya pili ya maoni ya Chadema waliyowasilisha kwenye Tume ya Mabadiliko ya Katiba. Leo tunakuletea sehemu ya tatu ya na ya mwisho ya maoni yao. Endelea…
- Mradi wa umeme Rusumo kuzinduliwa Februari 25
- Biharamulo kuwa kinara uzalishaji kahawa Kagera
- BoT kuendelea kudhibiti athari za huduma za mikopo mitandaoni (Kidigitali)
- Rais Samia kushiriki mkutano wa Wakuu wa Nchi G20 nchini Brazil
- Tanzania, Marekani zajadiliwa uwindaji wa kitalii kwa njia ya mtandao
Habari mpya
- Mradi wa umeme Rusumo kuzinduliwa Februari 25
- Biharamulo kuwa kinara uzalishaji kahawa Kagera
- BoT kuendelea kudhibiti athari za huduma za mikopo mitandaoni (Kidigitali)
- Rais Samia kushiriki mkutano wa Wakuu wa Nchi G20 nchini Brazil
- Tanzania, Marekani zajadiliwa uwindaji wa kitalii kwa njia ya mtandao
- Waziri Kijaji afungua mkutano wa Uchumi wa Buluu COP29
- Serikali kushirikiana na USAID, Ubalozi wa India kuboresha sekta ya afya
- CCT yasikitishwa changamoto zilizojitokeza kuelekea uchaguzi Serikali za Mitaa
- Israel yashambulia mji wa Damascus
- Kuelekea Maadhimisho ya UKIMWI Duniani,Serikali yaeleza ushamiri wa VVU kitaifa kuwa ni asilimia 4.4
- Rais Samia aongoza waombolezaji kuaga mwili wa marehemu Lawrence Mafuru Dar
- TMDA yawashauri watoa huduma, wagonjwa kutoa taarifa za vifaa tiba visivyokidhi viwango
- Tabora United yapewa mil. 25/- kwa kuifunga Yanga, RC aahidi kuwapa mil.50/- wakiifunga Simba
- EWURA yazawadia wahitimu bora Chuo cha cha Maji
- Mwili wa marehemu Lawrance Mafuru wawasili viwanja vya Karimjee Dar