Latest Posts
Yah: Tanzania na maendeleo ya mdomo
Nianze kwa kuwashukuru sana wazazi wangu walionikanya wakati naoa kwamba maisha ya ndoa ni kama glasi ndani ya kabati, ipo siku lazima kabati litayumba na glasi zitagongana, na ikitokea hivyo katika maisha yangu ya ndoa lazima nitumie kuta nne za chumbani kwangu kumaliza kelele zetu za glasi, ugomvi na sintofahamu yoyote ile.

Mkombozi wako kiuchumi ni wewe
Wiki iliyopita niliandika makala kuhusu fikra zinavyoweza kukukomboa kiuchumi. Katika makala yale nilieleza kuwa ili kufanikiwa kibiashara na kiajira tunahitaji hamasa kuliko hata kubadilisha siasa zinazotawala na Katiba mpya. Nilisema mtu namba moja wa kuukomboa uchumi wako ni wewe mwenyewe.
Extra Bongo wajipanga kutumbuiza Idd
Bendi ya Muziki wa dansi ya Extra Bongo ya jijini Dar es Salaam inajipanga kuhakikisha inafanya maonesho ya kusisimua wakati wa kusherehekea Sikukuu ya Idd.
Lady Gaga kutumbuiza MTV
Msanii maarufu wa muziki wa Pop, Lady Gaga, anatarajiwa kutumbuiza katika tuzo za muziki za MTV zitakazofanyika Agosti, mwaka huu. Litakuwa onesho lake la kwanza baada ya kufanyiwa upasuaji wa sehemu za nyonga.
NUKUU ZA WIKI
Julius Nyerere: Tusipuuze misingi ya ujamaa
“Kama chama chetu kitapuuza misingi ya ujamaa, basi kitakuwa kinapuuza msingi mmoja muhimu wa amani na utulivu katika taifa hili. Tutavuruga amani maana tutakuwa tumeondoa matumaini ya kuleta maendeleo yanayoheshimu utu na usawa.”
Maneno haya ni ya Baba wa Taifa la Tanzania, Mwalimu Julius Kambarange Nyerere.