Latest Posts
JWTZ: Hizi ni rasharasha
*Wasubiri wenzao A. Kusini, Malawi zianze za masika
*Kamanda: Matumaini ya Wakongo ni makubwa mno
*Waziri wa Ulinzi asema hali za vijana nzuri
Brigedi ya Jeshi la Umoja wa Mataifa (UN) la Kulinda Amani Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (MONUSCO) inayoongozwa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), ipo salama na inajiandaa usiku na mchana kuhakikisha amani inarejeshwa katika eneo hilo.
Habari za uhakika zinaeleza kwamba operesheni rasmi inatarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu baada ya vikosi kutoka Afrika Kusini na Malawi, kuungana na wenzao wa JWTZ ambao tayari wapo eneo hilo.
JWTZ: Hizi ni rasharasha
*Wasubiri wenzao A. Kusini, Malawi zianze za masika
*Kamanda: Matumaini ya Wakongo ni makubwa mno
*Waziri wa Ulinzi asema hali za vijana nzuri Brigedi ya Jeshi la Umoja wa Mataifa (UN) la Kulinda Amani Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (MONUSCO) inayoongozwa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), ipo salama na inajiandaa usiku na mchana kuhakikisha amani inarejeshwa katika eneo hilo. Habari za uhakika zinaeleza kwamba operesheni rasmi inatarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu baada ya vikosi kutoka Afrika Kusini na Malawi, kuungana na wenzao wa JWTZ ambao tayari wapo eneo hilo.
Wauza ‘unga’ waanza kutajwa
Wakati Watanzania wengi wakiwa wameamua kuwaanika hadharani nguli wa biashara ya dawa za kulevya, Balozi wa Tanzania nchini China, Philip Marmo, naye amepasua ukweli wa mambo akisema hali inatisha.
Watu 10,262 wakacha ARVs
Watu 10,262 wanaoishi na Virusi Vya Ukimwi (VVU) na Ukimwi mkoani Mwanza, hawajulikani waliko kwa zaidi ya miezi mitatu sasa baada ya kutohudhuria kliniki ya kutoa dawa hizo.
Jeshi la ‘bodaboda’ latembeza mkong’oto wilayani Geita
Jeshi lisilo rasmi la vijana zaidi ya 60 wanaofanya kazi ya kubeba abiria kwa kutumia pikipiki (bodaboda), huku wakiimba kibwagizo cha ‘wapigwe tu’, wameteka mtaa na kutembeza kipigo kikali kwa abiria wao mmoja.
MAUAJI YA BARLOW
Malele aendelea kuteseka Muhimbili
Maendeleo ya matibabu ya Mohamed Malele aliyetangaza siri za mtandao unaodaiwa kuhusika kumuua Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow, ni kitendawili.
- Dk Ndumbaro achaguliwa Mwenyekiti Kamati Maalum ya Mawaziri wa Sheria ya Umoja wa Afrika
- Ripoti ya mwaka ya Tanzania, Urusi kuelekea nchi ya ahadi
- REA kusambaza mitungi ya gesi 19,530 mkoani Singida
- Dk Biteko: Kagera bado ina fursa ya kuongeza uzalishaji wa kahawa
- Dk Kazungu atembelea miradi ya umeme Dar es Salaam
Habari mpya
- Dk Ndumbaro achaguliwa Mwenyekiti Kamati Maalum ya Mawaziri wa Sheria ya Umoja wa Afrika
- Ripoti ya mwaka ya Tanzania, Urusi kuelekea nchi ya ahadi
- REA kusambaza mitungi ya gesi 19,530 mkoani Singida
- Dk Biteko: Kagera bado ina fursa ya kuongeza uzalishaji wa kahawa
- Dk Kazungu atembelea miradi ya umeme Dar es Salaam
- Rais Mstaafu Dk Ali Mohamed Shein aweka jiwe la msingi jengo la Mahakama Mkoa wa Kaskazini Unguja
- Bandari Tanga yaingiza mapato zaidi ya bilioni 100
- Polisi Dar yaimarisha ulinzi, yazuia fataki
- Rais Samia afungua uchumi wa nchi kwa kukaribisha wawekezaji nchini – Ulega
- Waziri Mkuu aagiza TANROADS waongeze kasi ya ujenzi daraja la Simiyu
- Chana atoa maagizo halmashauri za wilaya
- Bashungwa awajulia hali majeruhi ajali ya Biharamulo, abiria 11 wapoteza maisha
- Papa Francis azungumzia ‘ukatili’ unaotendeka Gaza
- Ajali ya Boti yaua 38 DRC, zaidi ya 100 hawajulikani walipo
- IGP Wambura afumua Kikosi cha Usalama Barabarani