Latest Posts
Mil 121/- ‘zatafunwa’ Hospitali ya Geita
Siri ya wizi wa Sh zaidi ya milioni 121 za Hospitali ya Wilaya ya Geita imefichuliwa. Imewekwa wazi na aliyekuwa Mhasibu wa Idara ya Afya hospitalini hapo, Frank Maganga, akimtaja aliyekuwa Mganga Mkuu wa Wilaya, Dk. Omary Dihenga, kutumia…
Vidonda vya tumbo na hatari zake (16)
Wiki iliyopita, Dk. Khamis Zephania alieleza vyanzo na madhara ya magonjwa ya saratani ya tumbo na vidonda vya tumbo kwa mama wajawazito. Sasa mfuatilie zaidi katika sehemu hii ya 16…
Jinsi vidonda vya tumbo vinavyochunguzwa
Salaam za Kagasheki kwa majangili
*Angependa wakikutwa maporini ‘wamalizwe’ huko huko
*Maelfu ya wananchi wakubali adhabu ya kifo kwa wahusika
*Muswada kuipa makali sheria kuwasilishwa Bunge lijalo
Muda ni saa 2 na dakika kadhaa asubuhi. Mbele ya Makao Makuu ya Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA) kuna mamia ya watu wa rika, rangi na jinsi zote. Wana mabango yenye ujumbe maalumu.
Dola ikomeshe vibaka kwenye daladala
Tatizo la vibaka limeendelea kuota mizizi katika daladala za abiria, hasa jijini Dar es Salaam. Baadhi ya watu wanaotumia usafiri huo wa umma wamekuwa wakiibiwa fedha na simu za kiganjani kila kukicha!
Mungu awe nayi wana JAMHURI
Chonde chonje wavuta sigara
Mhariri,
Ninajitokeza kutumia fursa hii kutoa wito kwa watu wote wanaovuta sigara kuacha kasumba mbaya ya kuvuta sigara katika msongamano wa watu, kwa sababu vitendo hivyo vina athari kubwa zaidi za kiafya kwa wasiotumia bidhaa hiyo.
- Serikali itaendelea kuboresha huduma za uhamiaji – Dk Biteko
- Dk Mwinyi asamehe wafungwa wanafunzi 33
- Sillo : Wananchi toeni taarifa sahihi kupunguza muda wa uhakiki wa vitambulisho vya NIDA
- Moto wa nyika Los Angeles ulisababishwa na nini?, watu 137 wakimbia miji yao
- Rais Samia afanya teuzi za Majaji wa Mahakama za Rufani
Habari mpya
- Serikali itaendelea kuboresha huduma za uhamiaji – Dk Biteko
- Dk Mwinyi asamehe wafungwa wanafunzi 33
- Sillo : Wananchi toeni taarifa sahihi kupunguza muda wa uhakiki wa vitambulisho vya NIDA
- Moto wa nyika Los Angeles ulisababishwa na nini?, watu 137 wakimbia miji yao
- Rais Samia afanya teuzi za Majaji wa Mahakama za Rufani
- Serikali kuendelea kupokea maoni Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050
- Mchakato wa Dira 2050 waanza, AZAKI watoa maoni
- Waziri Mkuu awasili Uganda kumwakilisha Rais Samia mkutano wa kilimo
- Dk Mpango: Tanzania inathamini ushirikiano wake na Marekani
- Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora yachunguza vifo vya watu wawili Pemba
- Tanzania, Japan zatia saini hati ya makubaliano ushirikiano miradi ya afya nchini
- RC Makonda autaka uongozi Jiji Arusha kuwapa kipaumbele wazawa
- Wizara ya Elimu mbioni kuzindua mitaala mipya iliyoboreshwa
- Mwinyi: Zanzibar itaendelea kuweka mazingira mazuri kwa wawekezaji sekta ya Uchumi Buluu
- REA yaendelea ilipoishia umeme nyumba kwa nyumba