Latest Posts
Mvutano uchinjaji Mbeya
Hivi karibuni kumezuka vurugu baina ya Wakristo na Waislamu katika mji wa Tunduma mkoani Mbeya, wakigombea uchinjaji mifugo ingawa siku zote Waislamu ndiyo wamekuwa wakitekeleza jukumu hilo.
India yakubaliwa kuchimba dhahabu, almasi Tanzania
Serikali ya Tanzania imekubali ombi la Serikali ya India, la kutaka kuwekeza katika sekta ya nishati na madini nchini.
Udokozi bandarini ukomeshwe
Bandari ya Dar es Salaam ni mashuhuri katika nchi za Afrika Mashariki na Kati. Bandari hii, kwa muda mrefu, imekuwa kitovu cha biashara kati ya Tanzania na nchi za Afrika Mashariki na Kati zisizokuwa na bandari (land locked).
Kuchinja si tatizo, tatizo ni udini
Wiki hii nimelazimika kuandika tena mada hii. Nimeiandika mada hii baada ya kuona moto unazidi kusambaa nchi nzima. Tatizo lilianzia Kanda ya Ziwa kwenye mikoa ya Mwanza na Geita, likaenda Shinyanga, lakini sasa limehamia Tunduma.
Kwimba walilia maji safi
Mbunge wa Kwimba, Shanif Hirani Mansoor (CCM), amesema ameshaanza kushughulikia ujenzi wa mabwawa ya maji katika kata kadhaa jimboni humo.
Mchele wakosa soko Same
Wakulima wa mpunga wilayani Same mkoani Kilimanjaro, wameeleza kushangazwa na uamuzi wa Serikali kuruhusu uagizaji wa mchele kutoka nje ya nchi, wakati wao wamekosa wanunuzi wa tani 15,000 za bidhaa hiyo hapa nchini.
Habari mpya
- Tuhuma nyingine mpya dhidi ya P Diddy zazidi kumiminika
- Gavu awasili Geita kuzindua kampeni za uchaguzi Serikali za Mitaa
- Simba wazindua uzi mpya wa kimataifa
- REA kusambaza mitungi ya gesi zaidi ya 19,000 Mbeya
- Waziri Chana akutana na Balozi wa Ujerumani Terstegen
- Urusi inasonga mbele kwa kasi nchini Ukraine
- Wadau waombwa kusaidia kilim himilivu
- Timu ya waogeleaji safarini kuelekea Burundi
- TMDA yaonya matumizi dawa kuzuia mimba, kuongeza nguvu
- Ukraine yaishambulia Urusi kwa makombora ya Marekani ya ATACMS
- Mwanariadha wa Jeshi la Polisi ang’ara nchini Uingereza, avunja rekodi
- Ummy Mwalimu azindua ligi ya Wilaya ya Tanga
- Rais Samia awapa stars milioni 700
- Makonda ataka mahubiri ya amani
- Tanzania yanufaika na miradi ya mazingira