Latest Posts
Walioou bibi, kumkata titi na sehemu za siri wakamatwa
Na Allan Kitwe, JamhuriMedia,Tabora JESHI la Polisi Mkoani Tabora linawashikiria watu watatu kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya mwanamke aitwaye Sagali Masanja (62) bibi mkazi wa Kijiji cha Mahene Wilaya ya Nzega, kumkata titi na sehemu za siri na…
MSD yakabidhi dawa na vifaa vya dharura ajali ya jengo Kariakoo
Serikali kupitia Bohari ya Dawa (MSD) imekabidhi baadhi ya dawa na vifaa vya dharura kwa ajili ya kuwasaidia waathirika wa ajali ya kuangukiwa na ghorofa Kariakoo, Dar es Salaam. Vifaa hivyo vya dharura vilivyokabidhiwa kwa Mganga Mkuu wa Manispaa ya…
TAMISEMI yafafanua malalamiko kuhusu kuenguliwa kwa wagombea
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amefafanua malalamiko yaliyotolewa kuhusu kuenguliwa kwa wagombea mbalimbali katika uchaguzi wa Serikali za Mtaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, mwaka huu. Mchengerwa ameyasema hayo leo Novemba 16, 2024…
Majina ya majeruhi walionusurika ajali ya kuporomoka gorofa Kariakoo
……………. Na Mwandishi Wetu, JamhuriMediaDar es Salaam Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amethibitisha kutokea kwa kifo cha mtu mmoja na wengine 28 kuokolewa wakiwa wamejeruhiwa katika ajali ya kuporomoka kwa ghorofa iliyotokea asubuhi ya leo, Novemba 16 Kariakoo jijini Dar es…