Latest Posts
KAULI ZA WASOMAJI
Spika anachangia fujo bungeni
Fujo bungeni zinachangiwa na Spika Anne Makinda kutosimamia vizuri haki, kanuni na sheria za Bunge. Hataki wabunge wa kambi ya upinzani wawakosoe wabunge wa chama tawala. Hii haileti ladha.
Mdau wa JAMHURI, Dodoma
Tamasha la Siku ya Mkerewe kuanza Juni
Shirika la Kuboresha Mienendo na Desturi kwa Ustawi (KUMIDEU) katika Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, linashirikiana na wadau mbalimbali kuandaa tamasha la Siku ya Mkerewe.
Serikali inachekea udini, maadui wanalifahamu
Najua wengi wameandika mada hii. Ni karibu wiki sasa tangu kutokea kwa ugaidi kule Arusha. Wengi wameibuka na mijadala yenye kusisitiza kuwa kilichotokea Arusha ni mwendelezo wa udini. Baadhi wamefika mahali wanasema wazi kuwa Serikali imetunga majina ya watuhumiwa.
Tumeamua kujiridhisha na fedha za ‘uongo’
Nianze kwa kuwasalimu wasomaji wa safu hii ya Anga za Uchumi na Biashara, ambayo haikuwa hewani kwa takribani wiki saba.
Uamuzi wa Pinda, kuua uhifadhi?
Uamuzi unaotarajiwa kutangazwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kuhusu hatima ya Pori Tengefu la Loliondo, ndiyo utakaotoa mwelekeo wa uhifadhi nchini.
Takataka za serikali katika Elimu
*Dk. Kawambwa aliamua, sasa anamrushia mzigo Dk. Ndalichako
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa, ndiye aliyekuwa Mwenyekiti wa Kikao cha magwiji 14 wa elimu kilichobariki utaratibu mpya wa matumizi ya viwango vya ufaulu katika Mitihani ya Taifa ya Kidato cha Nne na Kidato cha Sita, uamuzi ulibadilika na kuonekana kama takataka katika jamii.