Latest Posts
Bila viboko tusahau elimu
Wiki iliyopita nchi hii ilitawaliwa na mjadala wa uamuzi wa Serikali kurejesha viboko shuleni. Mjadala huu najua umegusa mifano mingi. Wachangiaji wengi wamerejea vitabu vya imani mbalimbali, vinavyoeleza jinsi fimbo inavyosaidia kumnyoosha mtoto.
FCC yateketeza vipuri bandia
Tume ya Ushindani na Haki (FCC) nchini imeteketeza vipuri bandia vya magari, na kuwaonya wafanyabiashara kujiepusha kununua na kuuza bidhaa zilizoghushiwa.
Samaki Ziwa Victoria bye bye
*CAG asema uvuvi huu ukiendelea miaka 15 ijayo litakuwa tupu
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh, ametoa ripoti ya ukaguzi ya mwaka 2011/2012 na kutoa tahadhari kwamba endapo uvuvi haramu hautadhibitiwa katika Ziwa Victoria, miaka 15 hadi 20 ijayo samaki watakuwa wametoweka katika ziwa hilo kubwa katika Afrika.
Bagamoyo wamegewa neema nyingine
*Vijiji 20 kugawiwa fedha, chakula, elimu
Wakati bado mjadala wa upendeleo wa wilaya yake ukiendelea kumwandamana Rais Jakaya Kikwete, mradi mwingine wa mabilioni ya shilingi umepelekwa katika vijiji 20 vya Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani.
Bila kudhibiti NGOs Loliondo haitatulia
Kwa mara nyingine, Loliondo imetawala kwenye vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi. Sina desturi ya kuitetea Serikali, lakini hiyo haina maana kwamba inapoamua kufanya jambo la manufaa kwa vizazi vya sasa na vijavyo, nishindwe kuitetea.
BAADA YA KUANIKA MADUDU…
Ofisi ya CAG sasa yasambaratishwa
*Naibu CAG aondolewa, Utouh atakiwa ajiandae kung’atuka
Hasira za watendaji kadhaa wa Serikali Kuu, Serikali za Mitaa, Mashirika ya Umma na taasisi mbalimbali dhidi ya Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, zimeanza kuzaa matunda baada ya kuwapo mpango wa kuwang’oa viongozi wake wakuu.
Habari mpya
- Donald Tusk kukutana na wenzake wa Ulaya kuijadili Ukraine
- Qatar yasitisha jukumu la kuwa mpatanishi wa Israel na Hamas
- Watumishi wa ardhi Dodoma wapewa siku 30 kutatua migogoro ya ardhi
- Makamu wa Rais awasili Baku Azerbaijan
- Tanzania, Uganda zasaini makubaliano ya uimarishaji mpaka wa kimataifa
- Rais Samia amlilia Lawrence Mafuru
- Mlipuko wa Bomu waua 25 stesheni ya treni nchini Pakistani
- Miaka 60 ya Uhuru wa Zambia ni faraja kwa Tanzania
- Upekee jiolojia ya Tanzania wahamasisha washiriki mkutano wa madini muhimu Afrika
- Wahariri watakia kupambana na magonjwa ya moyo, JKCI yaeleza vyanzo vya magonjwa
- Shekalage : Kuweni waadilifu, wawazi, nidhamu na pesa za wafadhili
- Ukraine yapokea miili ya wanajeshi 563
- Hezbollah kulipiza mashambulizi
- Wagombea hawajaridhishwa na uteuzi, waweke pingamizi
- Wahariri na waandishi wa habari watakiwa kuweka maazimio ya kukuza taaluma