Latest Posts
Mashabiki wa upinzani wajitazame upya
Tanzania ya leo inafuata mfumo wa vyama vingi. Katikati ya mfumo wa vyama vingi Watanzania wamegawanyika katika makundi makuu matatu.
fikRA YA HEKIMA
Watanzania na imani potofu ziara ya Obama
Ziara ya Rais wa Marekani, Barack Obama, hapa Tanzania imenilazimu kuleta mada hii mapema tofauti na nilivyokusudia awali. Watanzania wengi wamezungumza ya moyoni mwao kuhusu ugeni huu.
Familia ya Barack Obama ni wanamichezo mahiri
Rais wa Marekani, Barack Obama, mke wake, Michelle, watoto wao, Malia na Natasha (Sasha) ni familia ya wanamichezo mahiri.
Barack Hussein Obama ni nani?
Barack Hussein Obama alizaliwa Agosti 4, 1961. Ni Rais wa 44 na Rais wa sasa wa Marekani. Ni Raia wa Marekani na Rais wa kwanza mwenye asili ya Afrika kushika wadhifa huo. Pia ni mtu wa kwanza aliyezaliwa Hawaii kushika nafasi hiyo.
FASIHI FASAHA
Haki, ukweli ni nguzo za amani – 4
Katika makala tatu zilizotangulia nimezungumzia baadhi ya viongozi wa dini, siasa na wa serikali kutupilia mbali maadili na miiko ya uongozi na kuwa chanzo cha kutaka kuvunja amani ya nchi. Pili, haki na ukweli ni nguzo za amani.
Walioficha mabilioni Uswisi wahojiwa
*Kwenye orodha wamo majenerali wa JWTZ
*Mboma, Sayore, Yona, Chenge, Mgonja ndani
*AG akiri kazi ni ngumu, aomba waongezwe muda
*Asema mwanga muhimu umeanza kuonekana
Kamati iliyoundwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda kuchunguza Watanzania walioficha fedha kwenye mabenki ughaibuni, imeshawahoji vigogo, wakiwamo mawaziri wa zamani, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, wanasiasa na wafanyabiashara maarufu.
- ‘Serikali kuwachukulia hatua kali watu wanaojihusisha na utoroshaji madini’
- 1,798 waptishwa kugombea uenyekiti Serikali za Mitaa Ilemela
- Akiba Commercial Bank Plc yawatoa hofu wateja wake wa Kariakoo walioathirika
- Rais Dk Samia amwagiza Waziri Mkuu kuongoza timu ya ukaguzi wa majengo yote Kariakoo
- Luhemeja: Ni wajibu wa kila mmoja kushiriki katika kuhifadhi mazingira
Habari mpya
- ‘Serikali kuwachukulia hatua kali watu wanaojihusisha na utoroshaji madini’
- 1,798 waptishwa kugombea uenyekiti Serikali za Mitaa Ilemela
- Akiba Commercial Bank Plc yawatoa hofu wateja wake wa Kariakoo walioathirika
- Rais Dk Samia amwagiza Waziri Mkuu kuongoza timu ya ukaguzi wa majengo yote Kariakoo
- Luhemeja: Ni wajibu wa kila mmoja kushiriki katika kuhifadhi mazingira
- Waziri Kombo aagana na Balozi wa Iran
- Baraza la Madiwani Same lamundoa kazini mtumishi kwa tuhuma za kughushu vyeti
- Aweso kuunda tume maalum kufuatilia maji Soni Tanga
- Wanamgambo waua wanajeshi saba kusini magharibi mwa Pakistan
- Zelensky kumaliza vita kwa diplomasia
- RC Chalamila : Tunaendelea kuokoa majeruhi kwa ustadi mkubwa
- Walioou bibi, kumkata titi na sehemu za siri wakamatwa
- MSD yakabidhi dawa na vifaa vya dharura ajali ya jengo Kariakoo
- Kuanguka kwa ghorofa Kariakoo, CCM yatoa pole, yaomba uchunguzi ufanyike
- Rais Dkt. Samia awasili uwanja wa ndege wa Galeão Air Force Base nchini Brazil