JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Nyerere: Nuru ya amani iliyozimika

“Ugonjwa huu sitapona Watanzania watalia Nitawaombea kwa Mungu”

MIAKA 13 iliyopita Taifa la Tanzania liligubikwa na majonzi  mazito kutokana na kifo cha mwasisi wake, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Watanzania tusikubali udini utupore amani

Watanzania kwa jumla tuna kila sababu ya kuhakikisha dhana ya udini haipati mwanya wa kuvuruga ustawishaji na udumishaji wa amani, ambayo ndiyo msingi wa maendeleo nchini.

Rais Nyerere alipokosa maji ya kuoga Kibondo

Mpenzi msomaji wa JAMHURI,  katika toleo lililopita tuliona jinsi ambavyo Mwalimu Nyerere alijizatiti kutetea Muungano na mambo mengine mengi kwa maslahi ya Taifa letu. Sasa endelea na sehemu hii ya mwisho ya makala hiyo…

Yah: Julius, sisi tunakulilia katika jehanamu

Wiki moja iliyopita tulikuwa tunamkumbuka Julius, Julius Kambarage Nyerere, yule aliyepata kuwa Rais wenu wa Awamu ya Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Julius ambaye mimi naweza kumkumbuka vizuri ni yule Waziri Mkuu na baadaye Rais wa Tanganyika kijana kutoka Butiama, mtoto wa Mzee Nyerere Burito na Mama Mugaya wa Nyang’ombe.

Nyerere shujaa wa Tanzania, Utanzania na Watanzania

Kati ya watu wagumu kuwajadili hapa duniani ni Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Vigogo wagawana viwanja

Utapeli wa kutisha umefanywa na uongozi wa Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam, juu ya uuzaji viwanja katika eneo la Gezaulole.