Latest Posts
Vijiji vyote Mtwara vimefikiwa na umeme, sasa ni zamu ya vitongoji 150
Na Mohamed Saif, JamhuriMedia, Mtwara Baada ya kukamilisha usambazaji wa umeme katika vijiji vyote 785 Mkoani Mtwara, Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatekeleza mradi wa shilingi bilioni 16.7 wa kusambaza umeme kwenye vitongoji 150 utakaonufaisha kaya 4,950 mkoani…
RC Kunenge azitaka taasisi wezeshi kuweka mazingira rafiki kwa wafanyabiashara wadogo
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani, alhaj Abubakar Kunenge ameziagiza Taasisi Wezeshi, kuwa na Ushirikiano wa karibu na kuweka mazingira rafiki kwa wafanyabiashara wadogo ili kuboresha sekta ya Biashara na Uwekezaji. Aidha amezitaka Taasisi hizo zisigeuke…
Lina PG Tour yamsogeza Mollel karibu na Dubai
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Moshi Mchezaji gofu ya kulipwa Nuru Mollel ana uhakika wa kutwaa ubingwa wa michuano baada ya kushinda raundi ya nne ya michuano ya Lina PG Tour mjini Moshi. Mollel kutoka klabu ya Arusha Gymkhana amejiweka katika…
Uganda yasaka ufadhili wa kuzalisha megawati 1,600 za umeme
Uganda inasaka ufadhili wa ujenzi wa mitambo mitatu ya kuzalisha umeme wa nyongeza wa maji wa zaidi ya megawati 1,600, kwa lengo la kukabiliana na ongezeko la mahitaji ya nishati hiyo. Afisa wa Wizara ya Nishati nchini Uganda, Julius Namusaga,…
Israel: Mashambulizi ya Iran ni kitendo kikubwa cha uchokozi
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limefanya kikao cha dharura usiku wa kuamkia Alhamis kujadili mzozo unaozidi kutanuka wa Mashariki ya Kati. Balozi wa Iran kwa Umoja wa Mataifa ameliambia baraza hilo kwamba madhumuni ya nchi yake kuvurumisha makombora…
Biden: Marekani haiungi mkono shambulio la Israeli
Rais wa Marekani Joe Biden amesema kuwa haungi mkono shambulio katika maeneo ya nyuklia ya Iran kufuatia mashambulizi ya makombora ya masafa ya Iran dhidi ya Israel na kuitaka Israel kuchukua hatua ” sawia” dhidi ya adui yake mkuu wa…