Latest Posts
Malori 100 ya msaada wa chakula yaporwa Gaza, UNRWA yaonya balaa la njaa
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limeripoti kuporwa kwa msafara wa malori 109 yaliyokuwa yakibeba misaada ya kibinadamu huko Gaza siku ya Jumamosi. Tukio hili linaongeza changamoto kubwa kwa wakazi wa Gaza ambao tayari wanakabiliwa…
Mlima Dr Congo wasambaratika na kufichua akiba kubwa ya shaba
Katika tukio la kushangaza, mlima mmoja katika mkoa wa Katanga, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DR Congo) umesambaratika na kufichua akiba kubwa ya shaba. Video inayonyesha tukio hilo imeenea kwenye majukwaa mbalimbali ya mitandao ya kijamii, ikionyesha umati mkubwa wa…
Rais Samia auliza maswali magumu G20
Na Deodatus Balile, Rio de Janeiro, Brazil Rais Samia Suluhu Hassan ametoa hotuba ya kihistoria kwa kuuliza maswali magumu katika mkutano wa G20, ambapo akiwa anasikilizwa na Rais wa Marekani, Joe Biden, Rais wa China, Xi Jimping, Waziri Mkuu wa…
Tanzania yatolewa mfano kituo cha Taifa Operesheni na Mawasiliano ya dharura katika mifumo ya tahadhari
Tanzania imeendelea kutolewa mfano wa kuwa na Kituo cha Taifa cha Operesheni na Mawasiliano ya Dharura (National Emergency Operation and Communication Center Situation Room) na kuelezwa kuwa nchi nyingine ziendelee kuiga mfano wa Tanzania na kuendelea kuwekeza katika mifumo ya…
Wahasibu wanawake watakiwa kusimamia vema fedha za umma
Wahasibu wanawake nchini wametakiwa kusimamia vizuri fedha za umma katika kutekeleza majukumu yao ya kila siku. Wito huo umetolewa jijini Dodoma na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Jenifa Christian Omolo kwa niaba ya Katibu Mkuu, Dkt. Natu El-maamry…