Latest Posts
JWTZ: Hizi ni rasharasha
*Wasubiri wenzao A. Kusini, Malawi zianze za masika
*Kamanda: Matumaini ya Wakongo ni makubwa mno
*Waziri wa Ulinzi asema hali za vijana nzuri Brigedi ya Jeshi la Umoja wa Mataifa (UN) la Kulinda Amani Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (MONUSCO) inayoongozwa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), ipo salama na inajiandaa usiku na mchana kuhakikisha amani inarejeshwa katika eneo hilo. Habari za uhakika zinaeleza kwamba operesheni rasmi inatarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu baada ya vikosi kutoka Afrika Kusini na Malawi, kuungana na wenzao wa JWTZ ambao tayari wapo eneo hilo.
Wauza ‘unga’ waanza kutajwa
Wakati Watanzania wengi wakiwa wameamua kuwaanika hadharani nguli wa biashara ya dawa za kulevya, Balozi wa Tanzania nchini China, Philip Marmo, naye amepasua ukweli wa mambo akisema hali inatisha.
Watu 10,262 wakacha ARVs
Watu 10,262 wanaoishi na Virusi Vya Ukimwi (VVU) na Ukimwi mkoani Mwanza, hawajulikani waliko kwa zaidi ya miezi mitatu sasa baada ya kutohudhuria kliniki ya kutoa dawa hizo.
Jeshi la ‘bodaboda’ latembeza mkong’oto wilayani Geita
Jeshi lisilo rasmi la vijana zaidi ya 60 wanaofanya kazi ya kubeba abiria kwa kutumia pikipiki (bodaboda), huku wakiimba kibwagizo cha ‘wapigwe tu’, wameteka mtaa na kutembeza kipigo kikali kwa abiria wao mmoja.
MAUAJI YA BARLOW
Malele aendelea kuteseka Muhimbili
Maendeleo ya matibabu ya Mohamed Malele aliyetangaza siri za mtandao unaodaiwa kuhusika kumuua Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow, ni kitendawili.
Tutelekeze wabunge, tuwawezeshe polisi
Wiki hii nimewaza na kuwazua. Kwa furaha nimepokea mrejesho kutoka kwenu wasomaji wangu. Hakika nimefurahi jinsi mlivyolikubali gazeti JAMHURI, na jinsi mawazo tunayoyatoa mnavyoyaunga mkono. Nasema asanteni sana na mkihisi tumekosea, msisite kutusahihisha.
- Rais Dkt. Samia awasili uwanja wa ndege wa Galeão Air Force Base nchini Brazil
- TAMISEMI yafafanua malalamiko kuhusu kuenguliwa kwa wagombea
- Majina ya majeruhi walionusurika ajali ya kuporomoka gorofa Kariakoo
- Waliofariki kwa kuporomokewa na ghorofa Kariakoo wafikia watano
- Katimba awajengea uwezo watendaji wa vijiji, kata na maafisa maendeleo ya jamii
Habari mpya
- Rais Dkt. Samia awasili uwanja wa ndege wa Galeão Air Force Base nchini Brazil
- TAMISEMI yafafanua malalamiko kuhusu kuenguliwa kwa wagombea
- Majina ya majeruhi walionusurika ajali ya kuporomoka gorofa Kariakoo
- Waliofariki kwa kuporomokewa na ghorofa Kariakoo wafikia watano
- Katimba awajengea uwezo watendaji wa vijiji, kata na maafisa maendeleo ya jamii
- DAS Mhanga atoa somo kwa watendaji
- Dk Mabula : Tunatoa onyo kwa wanaopita kuwachafua wenyeviti tuliowateua
- Spika Tulia atembele banda la Tanzania COP29
- Makamu wa Rais anadi fursa za uwekezaji sekta ya Uchumi wa Buluu, Azerbaijan
- Kuporomoka kwa jengo Kariakoo, mmoja afa, 28 waokolewa
- Rais Samia apokea kwa masikitiko kuporomoka kwa ghorofa Kariakoo
- TARURA Manyara kufungua barabara mpya Km 109
- Jengo laanguka Kariakoo, uokoaji unaendelea
- Israel yafanya mashambulizi katika wilaya moja Damascus
- Walioteuliwa mawaziri la Trump wanakabiliwa na tuhuma za utovu wa nidhamu