JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Chadema: Tunataka Serikali 3

Chadema: Tunataka Serikali 3

Wiki iliyopita, Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kiliwasilisha maoni yake kwa Tume ya Taifa ya Marekebisho ya Katiba. Ifuatayo ni sehemu ya kwanza ya mapendekezo yao:-

Serikali imebariki TTCL itafunwe?

Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) ni mali ya Watanzania kwa asilimia 65. Sehemu nyingine ya hisa ndiyo inayomilikiwa na wawekezaji.

Mkono awaunga mkono Mtwara

*Asema wasikubali yawakute ya Buhemba

*Aahidi kuwatetea bungeni kwa nguvu zote

Mbunge wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono (CCM), amejitokeza hadharani kuwaunga mkono wananchi wa Mtwara wanaopinga kujengwa kwa bomba la gesi kwenda jijini Dar es Salaam.

Wahariri tunataka uhuru halisi wa vyombo vya habari

Alhamisi ya January 10, 2013 kwangu imekuwa siku ya historia ya kipekee. Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) lilinikabidhi jukumu la kuwasilisha maoni ya Wahariri kuhusiana na tunayotaka yawemo kwenye Katiba mpya.

BARUA YA WAZI KWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Ndugu Mhariri,

Sisi ni wanatunduru, tunaandika barua hii tukiwa na majonzi, mfadhaiko na huzuni kubwa kwani tunaona Serikali ya Rais Jakaya Kikwete imetutupa kabisa. Tumeamua kuandika barua hii kupeleka kilio chetu kwa Mheshimiwa Rais kupitia gazeti lako, Jamhuri.

Kimbisa ‘aibinafsisha’ Red Cross

Mbunge wa Afrika Mashariki, Adam Kimbisa na wenzake wanatuhumiwa kujitwalia na kujimilikisha Chama cha Masalaba Mwekundu (TRCS) na kukitumia kwa manufaa yao binafsi.