JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Kim atishia kuisambaratisha Korea Kusini kwa nyuklia

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un leo ametishia kutumia silaha za nyuklia na kuisambaratisha kabisa Korea Kusini iwapo nchi hiyo itamchokoza. Haya ni kulingana na taarifa iliyotolewa na vyombo vya habari nchini humo. Hii ni baada ya kiongozi wa…

BoT yatoa angalizo kwa watumiaji fedha za kigeni

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma BENKI Kuu ya Tanzania (BOT)imeendelea kupiga marufuku watoa huduma mbalimbali nchini kufanya malipo ya ndani ya nchi kwa kutumia fedha za kigeni ambapo imesema kufanya hivyo ni kosa kisheria. Uamuzi huo unatokana na matarajio ya mfumuko wa…

Waziri Mkuu afunga mkutano mkuu wa kumi wa wadau wa lishe

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mtambo wa kuchanganya lishe katika vyakula alipotembelea banda la maonesho la Taasisi ya GAIN Tanzania kabla ya kufunga Mkutano Mkuu wa kumiwa Wadau wa Lishe kwenye ukumbi wa Malaika Beach Resort jijini Mwanza, Oktoba 3,…

Dk Tulia ataka ushirikiano na mawazo bunifu kuliendeleza Bara la Afrika na watu wake

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akihutubia kwenye Mkutano wa 53 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika, amewataka washiriki wa…