JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mtwara wapewe asilimia mbili

Kwa muda wa mwezi mzima wananchi wa Mkoa wa Mtwara wapo kwenye maandamano. Maandamano haya yanaelekea kulifikisha taifa katika uvunjifu wa amani. Wananchi wanatumia nguvu, na kuna uwezekanao Serikali nayo itafika mahala itaishiwa uvumilivu itaanza kutumia nguvu. Mungu apishe mbali.

Zitto, wanasiasa mnatenda dhambi mtakayoijutia

Kwa mwezi mzima sasa Taifa letu limegubikwa na vurugu za umiliki wa gesi. Wakazi wa Mkoa wa Mtwara wakiongozwa na propaganda za Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, ambaye sasa anazungumza lugha za malaika akidai anawatetea wananchi wa Mtwara, wanachimba mtaro kwa ajili ya mkondo wa maafa.

NICOL yamsafisha Mengi

Kampuni ya Taifa ya Uwekezaji (NICOL), imemsafisha mfanyabiashara maarufu nchini, ambaye ni Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni za IPP, Reginald Mengi kuhusu tuhuma za kuidhoofisha kampuni hiyo.

MAONI YA KATIBA MPYA YA TANZANIA

Chadema: Tunataka Serikali tatu – 3

Wiki iliyopita tulikuletea sehemu ya pili ya maoni ya Chadema waliyowasilisha kwenye Tume ya Mabadiliko ya Katiba. Leo tunakuletea sehemu ya tatu ya na ya mwisho ya maoni yao. Endelea…

TAKUKURU yawahoji watuhumiwa TTCL

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) imeanza rasmi kazi ya kuwahoji viongozi juu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL).

RATIBA YA AFCON 2013

Jumanne 22 Januari 2013:

Ivory Coast vs Togo        11:00 jioni

Tunisia vs Algeria              2:00 usiku