Latest Posts
Kuanzia Januari 2025, vivuko vitakuwa vinasubiria abiria – Bashungwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) kwa kushirikiana Kampuni ya Azam Marine zinaendelea kuboresha utoaji wa huduma za usafiri wa vivuko katika eneo la…
Tanzania yafuzu Afcon 2025
Na Isri Mohamed Timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imefuzu kucheza mashindano ya mataifa ya Afrika (AFCON 2025) yatakayofanyika nchini Morocco. Stars imefuzu leo katika dimba la Mkapa dhidi ya Guinea kupitia bao moja lililofungwa na Simon Msuva kipindi…
Majaliwa: Sekta ya Madini ni nguzo muhimu katika uchumi wa nchi
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Sekta ya madini ni nguzo muhimu katika uchumi wa Nchi, hivyo serikali itaendelea kuifungamanisha na sekta nyingine ikiwemo sekta ya viwanda kwa kuwakaribisha wawekezaji kuwekeza katika viwanda na…
Polisi yawashikilia Diva, Niffer kwa tuhuma za kuchangisha fedha kwa waathirika wa Kariakoo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam JESHI la Polisi linawashikilia kwa mahojiano ya kina Diva Malinzi (36) na Jennifer Jovin (25) maarufu kama Niffer kwa tuhuma za kuchangisha fedha kwa ajili ya walioporomokewa na jengo Kariakoo. Novemba 26, 2024…
Mgombea wa upinzani atangazwa mshindi wa urais Somaliland
Katika uchaguzi mkuu wa urais uliofanyika Novemba 13 nchini Somaliland, kiongozi wa upinzani Abdirahman Mohamed Abdullahi, maarufu kama “Irro”, ameibuka mshindi baada ya kupata asilimia 63.92 ya kura zote. Karibia watu milioni 1.2 walijitokeza kupiga kura, na zoezi hilo lilielezewa…
Tanzania, Uturuki kushirikiana sekta ya Maliasili na Utalii
Na Happiness Shayo, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na Uturuki zimekubaliana kushirikiana kukuza Sekta ya Maliasili na Utalii lengo ikiwa ni kuongeza idadi ya watalii wanaotembelea nchi hizo mbili. Hayo yamebainika leo Novemba 19,2024…