Latest Posts
Canada yaiwekea vikwazo Rwanda
Serikali ya Canada imetangaza vikwazo vya kiuchumi na kisiasa dhidi ya Rwanda, ikisema vikosi vyake vinasaidia kundi la M23 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Canada ilikosoa mauaji na mashambulizi dhidi ya raia, wakimbizi, na vikosi vya Umoja wa…
Tanzania yatambua mchango wa Uswisi
Na Benny Mwaipaja, JamhuriMedia Dar es Salaam Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Lameck Nchemba amesema kuwa Tanzania inatambua mchango mkubwa wa Serikali ya Uswisi katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii tangu nchi hizo mbili zilipoanza uhusiano wa kidiplomasia na kiuchumi…
Asilimia 69 ya maduhuli yakusanywa ndani ya miezi 8
• Watanzania 19,371 wapata ajira migodini • Thamani ya mauzo migodini yafikia 91.68 Na Mwandishi Wetu, JamhiriMedia, Dodoma TUME ya Madini imefanikiwa kukusanya Shilingi 690, 763, 401,639.06 ndani ya miezi nane sawa na asilimia 69.08 ya lengo la mwaka wa…
Dk Biteko awataka wanawake kuwa mabalozi wa nishati safi ya kupikia
📌 Serikali kuwezesha Sera, Sheria kwa wawekezaji wa Nishati Safi ya kupikia 📌 Ahamasisha matumizi ya Nishati ya Safi ya kupikia nchini 📌Ampongeza Mkurugenzi Mtendaji TANESCO kwa kuunganisha watumishi Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu…
Afrika tunayapa kipaumbele matumizi ya nishati safi kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi – Dk Biteko
📌 Asema Sera na Sheria zinazowekwa zinahimiza matumizi ya Nishati Safi 📌 Afungua Mkutano wa Awali EAPCE’25 📌 Ataka utumike kujadili na kuweka mipango itakayowezesha matumizi ya Nishati Safi 📌 Ataka mkazo kuwekwa kwenye Nishati Safi ya Kupikia kwani matumizi…
Tanzania yapokea faru weupe 17 kutoka Afrika Kusini
Na Kassim Nyaki, Ngorongoro Kreta, Arusha. Serikali kupitia wizara ya Maliasili na Utalii kwa mara ya kwanza imepokea Faru weupe 17 kutoka kampuni ya AndBeyond ya nchini Afrika Kusini kwa lengo la kuimarisha shughuli za uhifadhi, utafiti na elimu katika…