Latest Posts
Tuepuke vurugu kwa kutenda haki
Juma lililopita, Waziri wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe, alimwomba Rais Jakaya Kikwete auridhie Muswada wa Marekebisho ya Mabadiliko ya Sheria ya Katiba, kwa lengo la kuepusha vurugu nchini.
Wadau wasikitika magazeti kufungiwa
Wadau mbalimbali wa habari wameeleza kusikitishwa kwao na kufungiwa kwa magazeti ya Mwananchi na Mtanzania.
Gazeti la Mwananchi limefungiwa kwa siku 14 wakati Mtanzania limefungiwa kwa siku 90.
Tanzania tuige Bunge la Kenya
Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama nchini Kenya imeonesha mfano mzuri unaostahili kuigwa hapa Tanzania. Kamati hiyo imetangaza kusudia lake la kuwahoji wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wa Kenya kuhusu tukio la ugaidi katika jengo la kitega uchumi, Westgate jijini Nairobi.
Utapeli udhibitiwe Tanzania
Maoni ya Mhariri wa JAMHURI wiki iliyopita, yalipendekeza mtandao wa utapeli wa madini uliopo hapa nchini uvunjwe kwa sababu unaathiri uchumi, heshima na sifa ya Watanzania mbele ya uso wa Dunia. Kwamba watoto na wajukuu wao watakosa wa kufanya naye biashara, hivyo Taifa letu kuendelea kuwa tegemezi.
Vidonda vya tumbo na hatari zake (15)
Katika sehemu ya 14 ya mfululizo wa makala haya, Dk. Khamis Ibrahim Zephania alieleza sababu za kutoka damu na saratani ya tumbo. Sasa endelea kumfuatilia zaidi…
Usahihi kuhusu Shelutete
Katika toleo lililopita la Septemba 24-30, 2013 kwenye ukurasa huu, kulikuwa na barua iliyoeleza ufisadi katika Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro.