Latest Posts
Kupenda kuhurumiwa hakutusaidii kibiashara
Nimekuwa nikipata mgogoro wa ndani kila ninapohudhuria promosheni za bidhaa mbalimbali, ninaposoma ama kutazama matangazo ya kibiashara katika vyombo mbalimbali vya habari na vile vinavyotumika kimatangazo.
Udhibiti maegesho holela Temeke, changamoto zake
Jiji la Dar es Salaam ni moja ya majiji yanayoongoza kwa idadi kubwa ya wakazi hapa nchini. Hali hiyo inasababishwa na ongezeko la watu wanaoingia jijini kila kukicha, wakitokea mikoa mingine katika harakati za kutafuta maisha bora, ambayo wengi wao wanaamini kuwa yanaweza kupatikana Dar es Salaam.
Lindi, Mtwara wapata washirika Norway
Waziri wa Nishati na Madini wa Tanzania, Profesa Sospeter Muhongo, na viongozi wa miji ya Hammerfest na Sandnessjoen nchini Norway, wamekubaliana kuanzisha ushirikiano baina ya miji hiyo na miji ya Lindi na Mtwara.
Yah: Al-Shabaab waishie huko huko walikoanzia
Kama miaka 10 iliyopita, hawa wenzetu Wakenya walikuwa na kazi kubwa ya kusuluhisha mgogoro wa uchaguzi, uliosababisha baadhi ya Wakenya kupoteza maisha na wengine kuendelea kuwa walemavu hadi leo.
Uongozi Wetu na Hatima ya Tanzania
‘Uongozi Wetu na Hatima ya Tanzania’ ni kitabu kilichoandikwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, mwaka 1994. Ndani ya kitabu hiki kuna maneno mengi makali na ya kukosoa uongozi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya wakati huo, iliyokuwa ikiongozwa na Rais Ali Hassan Mwinyi. Mwalimu aliwakosoa wazi wazi aliyekuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais, John Malecela, na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, Horace Kolimba. Ifuatayo ni sehemu ya kwanza ya kitabu hicho kama inavyoletwa kwenu neno kwa neno kama alivyoandika Mwalimu mwenyewe. Endelea…