Latest Posts
Makocha hawa Wazungu kunogesha Ligi Kuu Bara
Pazia la Ligi Kuu ya Vodacom nchini linatarajiwa kufunguliwa rasmi Agosti 22, mwaka huu kwa mechi ya Ngao ya Hisani kati ya Azam na Yanga, na Septemba 12 ndiyo mechi za msimu wa Ligi 2015/2016 zitaanza rasmi. Mabadiliko mengi yamefanyika…
Majimbo 130 ya Ukawa haya hapa
Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), imetamba kuwa na uhakika wa kuunda Serikali zijazo kwa kupata wabunge zaidi ya 130 kati ya 264 ya Tanzania nzima. Hayo yamethibitishwa na Mkurugenzi wa Idara ya Sheria katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo…
Nani amemuua bosi huyu Polisi?
Maswali mengi yameibuka kuhusu kifo cha Mkuu wa Kitengo cha Kuzuia na Kupambana na Ujambazi Mkoa wa Morogoro, Mrakibu wa Polisi (ASP), Elibariki Pallangyo (53). JAMHURI imedokezwa kwamba kifo cha bosi huyo kimezua maswali mengi kutokana na mazingira ya namna…
Vigogo Sumbawanga wakusanya vitabu ‘feki’
Vigogo wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa, wanaodaiwa kutengeneza vitabu bandia vya kukusanyia mapato ya ushuru na leseni za uvuvi wa samaki katika ziwa Rukwa wameanza kuviondoa katika mzunguko. Wiki iliyopita gazeti la JAMHURI liliripoti habari ya uchunguzi…
Cheche za Lowassa moto Karagwe
Wanasiasa kadhaa waliokuwa makada na madiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na vyama kadhaa vya upinzani wilayani Karagwe na Kyerwa wamejisalimisha na kujiunga Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kumfuata mwanasiasa mahiri nchini, Edward Lowassa. Dhana kubwa ya wanasiasa hao…
Prof. Lipumba aseme ukweli wote
Leo bado siku 75 kabla ya Tanzania kufanya Uchaguzi Mkuu Oktoba 25. Muda unaweza kuonekana mwingi, lakini ni mchache. Matukio yanayoendelea katika ulingo wa siasa, uvumi na taarifa zinazosafiri kama moto wa nyasi kavu, yanatupasa kuwa makini na kuchambua pumba…