JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Tunahitaji akina Raila Odinga hapa Tanzania

Machi 19, mwaka huu, wakati Tanzania ikisogelea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka 2015, Uhuru Kenyatta alitangazwa kumshinda Raila Odinga katika kinyang’anyiro cha urais wa Kenya.

Kibanda alivyotekwa

Mfanyakazi wa Kampuni Ikolo Investiment Ltd, Joseph Ludovick (31), aliyekamatwa na Polisi akihusishwa kwenye sakata la utekaji na kujeruhiwa kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Absalom Kibanda, anatajwa kuwa ni mtu muhimu katika upelelezi wa tukio hilo.

Tatizo la Kusini wanaamini wanaonewa

Ninatoka kusini mwa Tanzania  mkoani Mtwara. Matukio yaliyotokea humo hasa kuanzia Desemba 2012 hapana shaka yamewashtua na kuwashangaza watu wengi.

FASIHI FASAHA

Je, ni njama za kuhujumu wanahabari?

Kuna njama za kuhujumu na kudhulumu utu na uhai wa wanahabari daima dumu. Njama hizo si ndogo, ni kubwa na zinatekelezwa usiku na mchana na wahalifu Tanzania.

FIKRA YA HEKIMA

Usafiri Dar ni zaidi ya kero

Jiji la Dar es Salaam linakabiliwa na changamoto nyingi, lakini kubwa kuliko zote imejikita katika usafiri wa kutumia magari.

Tuache kufyatua maneno

Habari yenye kichwa cha maneno, “Waziri achafua hewa mazishi ya Padri Z’bar” iliyochapishwa Februari 21, 2013, ilinikumbusha agizo la Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa (pichani chini), aliyetuasa akisema “Kama hujafanya utafiti, huna haki ya kuzungumza”.